Recent content by mabaibo

  1. M

    Kina cha Maji Bwawa la Nyumba ya Mungu chapungua

    Sasa kama bwawa la nyumba ya Mungu limepungua kina cha maji je bwawa la nyumba ya shetani itakuwaje
  2. M

    Wanaume wengi wa kizungu wana pisi kali za kiafrika lakini wanaume wa kiafrika wapo na kina bibi / wanawake wa kawaida wa kizungu

    Ulaya ukishazeeka huna msaada tena unapelekwa kwenye nyumba za kulelea wazee hivyo basi kama una uwezo ndo unakuja Africa kuoa kidemu ili kikulee chenyewe kinaona kimepata kumbe kimepatikana
  3. M

    Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?

    Mungu mkubwa ngoja tuone ya bwana Ndugai itagezwa nn kule salasala
  4. M

    Sirudii tena kufanya ujinga highway

    MKUU HUKUJINYEA KWELI 😁😁😁😁
  5. M

    Half rey unajua wewe ni mwepesi kuliko kapi

    wacha waisome namba ccm mbele kwa mbele sasa ndo naelewa maana ya huu wimbo
  6. M

    Half rey unajua wewe ni mwepesi kuliko kapi

    Inshaaalah atakuwa amesikia
  7. M

    Vichaa wanaheshimu mambo matatu! Pesa magari na mapenzi

    Na ukiona mtaani kwenu hakuna kichaa basi jua ww ndo kichaa mwenyewe
  8. M

    Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    Tena anapiga maji balaaaaah
  9. M

    Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

    HII KITAALAM TUNASEMA MBUZI KAFIA KWA MUUZA SUPU
Back
Top Bottom