Recent content by maandamano

  1. M

    Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Wewe kibaraka tu,unazani Magufuri angekuwepo kuna mtu angethubutu kuwauwa Watanzania?
  2. M

    Natamani hili suala la Lissu lifike mwisho, Watanzania tuijenge nchi yetu

    kwa dhuruma wanazofanyiwa Chadema bado huoni,kutekwa kuuwawa,kufungwa na wengine kukimbia ichi bado kweli unawaona Chadema wakubali masharti ya CCM?
  3. M

    TETESI: Baadhi ya Viongozi Wa Dini Wamefura hasira Baada ya hukumu ya Lissu. Kanisa Kutumika Kinyemel Kuishambulia Serikali na Rais Kwa Matamko Makali

    Unajua ogopa sana watu wanaojifanya wako na wewe usilu kumbe siri zako wanazivujisha mchana
  4. M

    Tujiulize: Kama Samia ndiyo muhula wa mwisho kwanini anaogopa wapinzani wa ndani na nje ya CCM

    Tena Rais wetu tunampenda alishinda kwa asilimia kubwa ya kura ndani ya machafuko
  5. M

    Kuna watanzania walikuwa wanatamani Lissu anyongwe

    Ukiona mtu anaumwa au kapata ajali awe ndugu yako au jirani au unamfahamu halafu nafsi yako ikawa inamuombea afe badala ya kupona ujuwe wewe mchawi
  6. M

    Watu 40 tu ndo wameenda kumshangaa Lissu hii ni hukumu kwa upande wa sisi wazalendo sasa tunasubiri hukumu ya court

    Kwani kipindi Lumumba anauwawa kwa ajili ya kutetea inchi yake Zaire Congo ya leo hata watu kama nyie walikuwepo,kama sisi hatutahukumu kwa haki kipo kizazi kitakachokuja kuhukumu kwa haki
  7. M

    Godbless Lema, John Heche, pamoja na Sugu watinga katika hukumu ya Tundu Lissu leo

    Mnafiki huyo ndiye Yuda wa Chadema kila kitu atakuwa anakijua
  8. M

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    YESU wakati anahukumiwa baadhi ya Viongozi wa Dini walikuwa kimya kama mnavyoona leo,ndiyo mjue dini iko kwa ajili ya haki au maslai ya watu binafsi?
  9. M

    PostGE2025 Sheikh Mwaipopo: Watu waliouawa tarehe 29 Oktoba, 2025 walistahili kuuawa

    Maisha ni kama mbiyo za marathoni unaweza ukajiona unaongoza kukimbia kumbe mbele yako bado kuna kama kilomita 20, Kuna mwisho mbaya ukiwa unakaribia kufa,kuna mwisho mbaya ukiwa wale uliokuwa unawategemea hawako tena katika sehemu ya maamuzi
  10. M

    PostGE2025 Padre Kitima: Kanisa lilionya kutofanya uchaguzi kabla ya kurekebisha kasoro za uchaguzi

    Mimi nilijua kuwa na akili ni kuongoza mtihani darasani,badaye nilipokuwa kijana nikajua kuwa na akili ni kuwa na hera au kuwa kiongozi Nilipokuwa mtu mzima nikajua akili haihusiani na kuongoza darasani,au pesa na vyeo akili ni busara pesa cheo bila akili ni bure na busara hupimwa na watu
Back
Top Bottom