WORM
MUNCHALi+ NATAFUTA KAZI WE UNALETA MASIKHALA!!!
HII INAONESHA KUWA UKIWA UNAPANDA NGAZI UNAWADHARAU WOTE UNAOWAPITA KWENYE NGAZI WAKISUASUA!! LAKINI KUMBUKA UNAWEZA UKAJIKUTA UNAWAHITAJI SIKU UNASHUKA NGAZI!!
AU BW.MIKUKI UNASEMAJE?
KAMA KAWA NAKUPA BIG UP KWA HIZI POSTING UNAZOTUSAIDIA WANA JAMBO. USISAHAU UKIIONA TU POST YA ACCOUNTS ASSISTANT UNITONYE MOJA KWA MOJA KUPITIA: mwaka007@yahoo.com NAWE MTU WANGU ULIYEAHIDI KUNITUMIA VP! AU HUJAZIBAMBA?
THANKS, GUYS.
naitwa MUNCHALI plus, ni mgeni ktk uwanja huu hivyo nabisha hodi.Hodi jama!
leo nina swali: kwanini wa tz tunakubali kulizalilisha bunge ltu tukufu kwa kuendekeza uteuzi wa washenzi kama kina kifupa? tunapeleka wapuuzi bungeni, wakifanya upuuzi tunalaumu ama kusikitika!!! hamjui kuwa mchimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.