Mawazo ya kimasikini kabisa, sasa huo ufisadi umeimbwa kila kona, lakini hatuoni ukithibitshwa popote pale, kwa nini tusifanye siasa nzuri, hizi za hivi ni kuonyesha jinsi gani watu wetu wengi ndani ya chama chetu walivyo na uwezo mdogo. Tumeruhusu wenye akili ndogo kutawala, na mwisho mwishoni...
Kuna muda nakosa nguvu ya kubishana na ile kauli ya Masaburi kuwa kuna watu wanafikiria kwa kutumia makalio, huenda huyu naye akawa mmoja wao kabisa, kichwani unaweza kuta kumejaa matope ama kamasi tupu
Kuwa na mamluki ndani ya chama hakuwezi kuzuilikaaa, sema huyo huyo Boss wa Malawi naye hana break kwenye kuyatoa yaitwayo siri. Na hata huko kwake watoa siri pia wapo ndio maana huwa zinavuja na upande wao. Uzuri maamuzi ya vikao yamekuwa yakitolewa kwa umma kupitia press baada ya vikao, hata...
Sina hakika hata kama imani yake inatambua hizo rangi kuendana na tukio hilo, labda wasaidizi wake wanaojua waliamua kumvalisha hivyo pasipo yeye mwenyewe kufahamu, kikubwa alipendeza mengine ni yetu sisi
Duh kumbe haya madude yako mengi namna hiyo, yanaweza kukusanyika na kutamba hadharani namna hiyo na kukebehi kampeni ya dudu baya. Aisee kumbe kweli hali ni mbaya. Kwamba yanatangazia dunia kuwa yanarukiwa na kumwagiwa kwa nyuma, Mungu wangu.
Sidhani kama ni sahihi kujifunza kila ubabe unaofanywa na chama A, kila chama kinapaswa kuwa na kiwango chake cha uhuru wa demokrasia. Wamejitokeza wahuni wengi waliokuwa na project za kuitisha press kila iitwapo leo katika mikoa na wilaya mbalimbali za Tanzania kama kule Tanga, Morogoro nk, na...
Hadhi ya Ikulu ilishushwa zamani tu, tangu tuliposema hadharani kuwa tunamiliki chawa wetu, tule kulingana na urefu wa kamba ila tusivembewe , kifo ni kifo, katiba ni kijitabu nk. Kiliba ni chawa tu, na mwenye chawa yupo ametulia
Nawaza tu kauli kama hizi kwa nini hazikutoka mwaka 2024-25 wakati chama chetu tawala/kilichopo ofisini kikiombwa kufanya majadadiliano kwa lengo la kuwa na muafaka wa kitaifa kabla ya uchaguzi? Wale waliosema kipindi kile, this time around wako kimya, wameanza kuibuka wengine. Natumai kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.