Recent content by lutuli

  1. L

    Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Ukinunua mali ya wizi ni halali unyang'anywe. Wote walionunua nyumbani hizo wameiba jasho la wananchi wa TZ. Kwa kuwa ziliuzwa kwa mlango wa nyuma ni haki ya wote walionunua kufa natai shingoni. Hakuna namna. Acha koleo libakie kuwa koleo. Woote wanyang'anywe. Siyo mangufuli peke yake. Orodha...
  2. L

    Kikwete aagiza Nyumba za Serikali zilizouzwa zirejeshwe

    Kwa wale walionunua nyumba lazima zitawauma sana. Lakini lazima ufahamu ukitaka kupona malaria sugu lazima unywe kwinini au utundikiwe drip la kwinini. Kila mtu anajua kwinini ni chungu sana. Baada ya kupona unaweza ukawa kiziwi kwa siku kadhaa, lakini mwisho utapona. Sasa ile dawa ya ufisadi wa...
  3. L

    Mkapa above the law?: Allegations

    Hiyonyumba ya Mkapa ni Damu zawalalahoi, wanaokufa mahopitalini na vijijini. Mkapa Lowassa, Mama Anna Mkapa, Mama Marry Ndossi, Kigoda, Sumaye wote hao ni mafisadi, ma-mumiani yanaonyonya damu za Watanzania walalahoi. Damu nyingine zinawalilia. Dawa yao inachemka. Mungu ibariki TZ.
  4. L

    Rushwa - Mvua ya Lowassa

    Mkira, Mbona unauliza majibu? Jibu la walarushwa liko Thailand. Kama kweli watu wana uchungu na nchi, wangekaa wakitumbua nje ya nchi muda wote huo wakati hapa nyumbani kuna janga la kukosa umeme? Sasa hivi watu wanakufa mahospitalini kwa kukosekana umeme, n.k. Halafu bwana Lowasa...
  5. L

    Kikwete aagiza Nyumba za Serikali zilizouzwa zirejeshwe

    Sisi watanzania walalahoi nyumba hizo zinatuuma sana. hainiingii akilini kuuza nyumba kwa mfano, Oysterbay, kisha kujenga nymba tena kijitonyama. Hata kama serikali itaingia hasara, nymba hizo zikirudishwa ni bora. Nangojea magorofa aliyonunu Mama BWM yarudishwe. Ndipo nitapata matumaini kuwa...
  6. L

    Waziri Lawrence Masha hana uwezo

    Nafikri bwana Mzawa5000 alitakiwa apendekeze watu kama Nchimbi, na Basil Mramba. Labda waroho wa madaraka na mafisadi wenzao wengi wangefurahia sana. Hii ni hali ya kawaida katika jamii yoyote, ni vigumu sana kiongozi anayetetea maslahi ya wengi kupendwa na kikundi kidogo kinachojineemesha...
Back
Top Bottom