Recent content by Lusungo

  1. Lusungo

    Baadhi ya watu waliousaka urais kwa hali na mali ila hawakufanikiwa

    Unaota ndoto za mchana
  2. Lusungo

    Voices from Within: Tundu Lissu Kuachiwa Huru Kesho? Kujiunga na Ndugu Zake Kumzika Kaka Yake Alute Siku ya J.4!

    Umechelewa ndugu Pascal Mayalla hii Habari nimeileta Jana na ndicho kinachoenda kutokea. Lissu kupata msamaha wa Rais? Lissu kupata msamaha wa Rais?
  3. Lusungo

    Lissu kupata msamaha wa Rais?

    Hawa watu waweke akiba ya maneno, sisi wengine hatuandikagi ramli humu!! Lissu anasamehewa na atatoka!! Sijui wataweka wapi nyuso zao!!
  4. Lusungo

    Lissu kupata msamaha wa Rais?

    Lissu anatoka kwa msamaha!! Yatosha sasa kwa kupigania wapumbavu na malofa wasio na msaada kwake!! Majitu maoga yanayoshinda mitandaoni kucomment Utumbo without action!!
  5. Lusungo

    Lissu kupata msamaha wa Rais?

    Lissu amejifunza kutotegemea watu useless Kama nyie!!
  6. Lusungo

    Lissu kupata msamaha wa Rais?

    Umeona Uzi wa Sizonje ulivyokua relevant mpaka mwisho? Sasa endelea kufuatilia kwa makini!! Endelea kunywa Mtori nyama ziko chini!!
  7. Lusungo

    Lissu kupata msamaha wa Rais?

    Muda wa kuwasikiliza nyie wajinga haupo tena!! Nyie mnachezea malaya zenu huko mwenzenu anataabika gerezani mmebaki kukata viuno humu!! Lissu akitoka akafanye mambo yake aachane na nyie mataahira aka keyboard warriors 🚮
  8. Lusungo

    Lissu kupata msamaha wa Rais?

    Naambiwa mama mwenye huruma, mcha Mungu na mlezi wa kweli wa wana mwenye upendo kwa wote yuko mbioni kuachilia msamaha kwa Mtoto mtundu, mtukutu na mkaidi Tundu Lissu!! Mtoto akinyea mkono huukati Bali utanawa maji maisha yaendelee……. Very soon Tundu anapokea msamaha wa Rais!!
  9. Lusungo

    Lissu omba dhamana ukamzike ndugu yako......

    Mna upumbavu sana mfungwa napewa dhamana?
  10. Lusungo

    Humu JF kuna kasumba ya kuwa dharau wale join 2020 kuendelea

    JF ndo imefika huku? Kwa nyuzi za aina hii tuna haki ya kupumzika!!
  11. Lusungo

    Nini inasababisha wanawake wengi ( slay queen) kutoa harufu mbaya ya mdomo?

    Wengi wao vipodozi vikali (cream) hupelekea kutoa harufu mbaya na Kali! Asilimia 95% ya watu wanaochubua ngozi zile kemikali huwafanya watoe harufu ya mwili na kinywa!!
  12. Lusungo

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Auto sio tiketi ya kukosa na comments za mkuu wa taasisi sio tiketi ya kupata!! IKAMA ya unakotoka na maoni ya mwajiri wako ndo kusema!!
  13. Lusungo

    Tecno imeleta simu mpya yenye nguvu ya ajabu, Tecno SPARK 50S 5G

    Ooops wamechelewa nimetoka nunua my iPhone 18 pro max Burgundy color
Back
Top Bottom