Recent content by lusekeloe

  1. lusekeloe

    Nimepigwa Shoti ya Umeme. Nilichokiona Sitaki ufundi tena

    Tv ya chogo haimalizi umeme unapoizima
  2. lusekeloe

    Nimepigwa Shoti ya Umeme. Nilichokiona Sitaki ufundi tena

    Kweli asee ila umeme wa viwandani ni R. I. P fasta
  3. lusekeloe

    Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

    Unatafta kishandu akuwaishe location
  4. lusekeloe

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Tofauti itakua kwenye RPM tu ila speed Ni sawa R PM ya basi ili kufikia speed Flan itakua ndogo kuliko RPM ya boda ili kufikia speed flan
  5. lusekeloe

    Uhalisia wa maisha tunayopitia Afrika Kusini

    Hilo la wanawake kuvuta bangi na sigara nikweli kabisa 100%
  6. lusekeloe

    Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

    Wale ni professionals wanalipwa kwa kazi hiyo[emoji119][emoji119]
  7. lusekeloe

    Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

    Consumption yake ya kawaida sana japo mi natumia model ya zamani kidogo hizi za sasa sijajua maana zinaboreshwa zaidi. Pia ni jiko salama kabisa hata uliacha on linajizima na haliunguzi kitu chochote ukiweka juu tofauti na sufuria yake
  8. lusekeloe

    Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

    Sio mpya ni technology ya muda sema kwa sasa yamekua common, mi nnalo zaidi ya miaka 10 natumia
  9. lusekeloe

    Naomba ufafanuzi kwa anayetumia majiko haya ya induction je yanafaa kwa uchumi wa kitanzania

    Tofauti na majiko mengine ni kwamba haya yanapika kwa process ya magnetic induction inayozalisha eddy currents ambayo effect yake ni kupasha sufurua ya chuma moto na sio heating coil ambayo inatumika kwenye majiko mengine
  10. lusekeloe

    Nataka nirudi kwenye simu za button

    Chukua nokia 3310 kitochi kipo simple net kinaingia na iko sharp sio sawa na azumi bajet 120K
Back
Top Bottom