akili ya kawaida tu ,Lisu akitoka gerezani anaweza kufanya siasa akiwa gerezani hakuna siasa huko ,na Kwa sababu wewe hauko gerezani unaona sawa tu mwenzako kuwa gerezani Kwa kuamini anachokifanya
Kitu Cha kawaida ambacho watu wengi hawakipendi ni kwamba Tundu A Lisu asipokuwa mpole Kwa mamlaka ,atakaa jela miaka 4,Rais aliyepo atamaliza muda wake vizuri sana ,Rais mwingine kupitia CCM atapatikana na maisha yataendelea ,anayeweza kubadili hili ni MUNGU TU ,sio hisia za wanachadema .HUU...
umewataja heche na mnyika ,lakini kwenye chama mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuongea na mabalozi ni Lisu na Lema wengine sio waongeaji wazuri ,Lema anashawishi kusikilizwa ,heche na mnyika wanafoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.