Wote hamjui kitu!Huwezi pata pesa zako za NSSF kama Umepata Ajira kwingine labda uwe unskilled,ummeishia form six tu bila professional yeyote otherwise,kabla ya NSSF kukupa Hela yako yote,wanachunguza kama una Ajira nyingine kokote kule!Na Wana mifuml Yao,na hasa wakitumia namba yako ya NIDA
Duchu miaka 34,afu akabane na watu wa nje huko kwenye CAF champion league wenye miaka 23 halisi,akimuacha hampati,atacheza rafu tu!Afrika Kila kitu ni laana tu!
Hello,pombe ni hatari ila ndo hivyo ipo na itaendelea kuwepo!Haiepukiki kamwe!Tumia Kwa Kwa tahadhari!Ni kama papuchi tu za sku hizi,Zina magonjwa,ila haziepukiki Tumia tu Kwa tahadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.