Recent content by lucasogutu

  1. lucasogutu

    Natafuta rafiki wa kuongea nae kiingereza tu

    I'm ready please reach me through 0754807947
  2. lucasogutu

    Aliyosema Kitila Mkumbo katika mahojiano TV-E

    Namuunga mkono hajakosoa bali anazungumzia hali ya elimu ya sasa inabidi wasomi waandaliwe kujiajiri, kuajiri na wawe na stadi za maisha na elimu ya ujasiriamali.
  3. lucasogutu

    Familia ya Nyerere gizani

    Acheni uchochezi tafuteni habari za uhakika no research no right to speak...
  4. lucasogutu

    Kigamboni kwa Chagani (kwa machangudoa) kunasikitisha

    Someni sex commercial workers (SCS) wapo globally na hii inaashiria mambo mengi kama umaskini, matatizo ya kifamilia, watoto wa mtaani, hali ngumu ya maisha, nk. Tafsiri yake ni pana na ni janga la Taifa. Siyo jambo la kuangalia kwa upande mmoja.
  5. lucasogutu

    Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Hukumu na kisasi tumuachie Mungu hata enzi za mitume na hata Yesu mwenyewe alipata pingamizi na udhalilishaji mkubwa kutoka kwa wasio amini. Mungu ni mwema tumuombe atupe macho na masikio ya kiroho na kuweza kumjua na kuwatambua manabii wa kweli. Yesu alisema wengi watajitokeza maana yake wa...
  6. lucasogutu

    Mzee wa upako amuunga mkono Askofu Gwajima

    Tatizo siyo kusema tatizo ni jinsi ujumbe unavyotolewa kwani nyingi tumesoma na kusikia ni jumbe zinazo dhalilisha aibisha au kuchochea chuki hapa viongozi wa dini naamini wamesoma theolojia na falsafa mbona kuna njia nzuri nyingi za kufikisha ujumbe pasipo kutukana kudhalilisha au kuchochea...
  7. lucasogutu

    Ikulu kuna tatizo au tatizo ni Ikulu?

    The power of the intelligent towards little or trivial issues is to ignore.
  8. lucasogutu

    Dr John P Magufuli and wrong punishment

    The writer looks as if wrote his points in Swahili and google translated the reason for this hanging presentation. Google translation requires professional editing in the language you are translating to.
  9. lucasogutu

    Indian PM arrives in Dar today

    Kaka huoni bajaji na bidhaa kutoka India, huoni watanzania wanavyoenda aidha kusoma au kupata tiba India na huoni wahindi walivyo wengi katika fani mbali mbali hapa nchini
  10. lucasogutu

    Natafuta sehemu nzuri ya kusoma English Course

    Jane don't eliminate the importance of joining any reputable English teaching institution because these at the end also gives one an accreditation towards that noble cause.
  11. lucasogutu

    Profesa Mkilaha ajipiga risasi bahati mbaya na kufa wakati akisafisha bastola yake

    Kumbe alianguka bafuni uchunguzi utatoa taarifa kamili
  12. lucasogutu

    Is Tanzania Ready for Take Off?

    The fifth phase government acting under CCM manifesto in line with melennium development goals is determined to usher the country through to being a mid growing economy by reviving industries and promoting the establishment of industries. Well Tanzania for the past 50 years has seen tremendous...
  13. lucasogutu

    Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

    In Tanzania government succession solely moves with CCM manifesto. What the current Magufuli government is doing, whatever it will do and anything it has done is a continuation of CCM manifesto. Of course we have policy issues the rule of law and other impromptu incidences which will depend on...
Back
Top Bottom