Recent content by LoyalTzCitizen

  1. LoyalTzCitizen

    Kwanini Muislamu akifanya ouvu anahusihwa na dini yake tofauti na mtu wa dini nyingine?

    Ndio, kwa sababu ingekuwa ni muislamu kafanya ugaidi huwa wanatamka wazi kama alah akbar etal. Hivyo hayo yanahusishwa sana na matendo mabaya ya kigaidi na ndio maana huwa wanakuwa labelled. Sio kwa bahati mbaya la hasha.
  2. LoyalTzCitizen

    Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Haya tuelezee wewe dada wa vijiweni kanisa limesababishaje mauaji ya Oct 29 2025? Maana naona mnasema mara CDM na Lissu wamesababisha mara wanaharakati toka nje ya nchi na mabeberu waliwalipa vijana, mara wa nchi za jjrani, sasa hii ya wakatoliki sijaisikia hebu tuelezee.
  3. LoyalTzCitizen

    Hakuna Mtanzania anapaswa kuwa na huruma na Lissu. Hata mke wake hajawahi kwenda kumuona gerezani

    Wewe ni, K=kubwa jinga. H=hovyo U=Uozo M=Mwenda wazimu. A=Andazi.
  4. LoyalTzCitizen

    Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Ongeza maarifa aise, kwani hizi habari za Eid Amin mama na genge lake la wauaji ni jambo la siri? Je, kuna mtanzania yeyote mwenye akili timamu ambaye hajui kuwa Eid Amin mama kapora kura na hapashwi hata kuwa madarakani, na mbaya zaidi ni muuaji, mdini, mfisadi, mkanda, mfiraji, mtekaji na...
  5. LoyalTzCitizen

    Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Hata kama zilipendwa kwani zinasema uongo? Hizi habari ni latest na zinahusu kile kikao cha mabunge ya dunia, kakojoe ulale dada.
  6. LoyalTzCitizen

    Heche ndio msaliti wa chadema

    Nonsense.
  7. LoyalTzCitizen

    Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

    Kwani wewe mburula unajua hata maana ya usomi, maana tusijekuwa tunachanganyana hapa.
  8. LoyalTzCitizen

    Profesa Mweusi wa Kwanza Chuo Kikuu Cha Cambridge, Uingereza Ajiuzulu kwa Kashfa ya Udanganyifu wa Kitaaluma (Plagiarism)

    Sio profesa mweusi wa kwanza, bali ni profesa kijana mwusi wa kwanza. Maprofesa weusi wapo Cambridge wengi tu.
  9. LoyalTzCitizen

    John Heche: AFCON na FIFA waliitenga S.Africa sasa ni zamu ya Tanzania

    Bado kuna sehemu fikra zako zimekwama unahitaji a jump start leads on to jump start it back on. Ni hivi Wanasiasa wa upinzani wapo ktk wakati mgumu sana unaoambatana na kuminywa kwa haki za kibinadamu kinyume na katiba ya nchi yetu na hata kimataifa (sina haja ya kuziambatanisha kama wewe ni...
  10. LoyalTzCitizen

    Fr Kitima: Unataka uridhiane na nani na hujakiri kosa?

    Hebu soma hapo juu umeandika nini!? Unajaribu kujustify ujinga, huoni kuwa mpumbavu ni yule ambaye ameingia madarakani bila ridhaa ya wananchi?I repeat, wacheni utoto na kiburi.
  11. LoyalTzCitizen

    Fr Kitima: Unataka uridhiane na nani na hujakiri kosa?

    unawezaje kuthubutu kupima uhalifu na adhabu ya kifo, hiyo ni sheria ya wapi? Wacha kujitoa ubongo. Katafute nchi yako inayoua wananchi wake kwa sababu ya uhalifu wa kuharibu mali na miundo mbinu. Sio TZ, hii sio nchi ya kigaidi. Ufike wakati sasa wakiri makosa ili tu move on, wacheni utoto na...
  12. LoyalTzCitizen

    Utasemaje tupo vizuri kisiasa wakati hujawajibika kwa mauaji ya October 29

    You do not sound normal at all, so sick and probably mentally retarded. Je wewe ni gaidi? Wafurahia wanaotafuta haki zao wauliwe kinyama?
Back
Top Bottom