Recent content by Lovebird

  1. Lovebird

    Mbona vijana wa kiume mnashindwa kuapraoch mademu? Tuko nyakati mbaya sana!

    Wa siku hizi hawataki sounds ka zamanii, Wanapenda enda kwa conclusion wajue ka mahusiano Yana tija kwao ama la? Hivyo Me ....wanapata wakati mgumuu kutong+$za
  2. Lovebird

    Tetemeko la Ardhi lapiga Kanda ya Ziwa muda huu

    Naona limepita na Katoro ... ama wachimbaji wamefyatua miamba yenye madiniii
  3. Lovebird

    Sababu 6 republicans na Trump kugalagazwa kwenye uchaguzi mdogo

    Kupunguza fedha za misaada kwenda njee ya US --- USAID ambayo iliajiri wengi
  4. Lovebird

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana Tanzania

    Linda mgongo wako ... mind your back Siku hizi wapo kimyaaa
  5. Lovebird

    KERO Malalamiko ya kukosekana kwa Dawa za Saratani (Chemotherapy) kwa bima ya NHIF, Muhimbili Mloganzila

    Dawa zipo, inategemea umejiunga na kifurushi kipi na pia endapo ushatuma maombi ya huduma husika Changamoto ni kwa Bima ya Afya kwa wote ...... Je matibabu hayo yanapatikana?
  6. Lovebird

    Ukifungua ukurasa huu, unaweza kukutana na lolote lile la kukusaidia maishani

    hata kale ka mchezo nako kana kaharufu fulanii ivii
  7. Lovebird

    Chukua Code kijana

    Ukituma pesa usisahau na kuweka ya kutolea
  8. Lovebird

    Ukishachafuka mitandaoni ni vigumu kuoga ukatakata

    kuna tabia na vijitabia ukishaona umeacha kuvifanya ..... unaanza kupevukaa
  9. Lovebird

    Vitu kutembea tumboni na kuunguruma

    Usitumie/Usile viporo Unapokaa muda mrefu bila kula, wakati wa mlo anza na vitu vyepesi (supu, mtori, chai)
  10. Lovebird

    Kuna taasisi moja ya serikali karibu kila mwezi anakufa mfanyakazi mmoja; hivi hii ni kawaida kweli au kuna kitu nyuma ya pazia?

    Zamani matangazo yalikuwa kwa mbao/ukutani ni hayawafikii watu wengi kwa wakat mmoja Mitandao ya jamii inafanya jamii kubwa inafikiwa na taarifa ..... isijekuwa ile taasisi inayoratibu noti...
  11. Lovebird

    Uchochezi: Ngoja aje Kawaida , Faresí et àl

    Duniani Kuna mengi sawa sawa na baharinii ......
  12. Lovebird

    PostGE2025 Wale tuliokuwepo tuliokuwepo kwenye tukio la Oktoba 29 tujitokeze kutoa ushahidi

    ... Lord do let me walk alone ..... Your promise is True ...When my heart is tired and wearied ... I just need to know you are near
Back
Top Bottom