Recent content by Lord Jesus Christ

  1. Lord Jesus Christ

    David Kafulila: Sera ya PPPs ilianza 2009, Sheria ikapitishwa 2010, lakini hadi 2023 hakukuwa na mradi uliotekelezwa, Sasa kuna zaidi ya miradi 100

    Hongera sana Rais Samia! Hapa lazima tumpe maua yake bila ubahili. Ameikuta PPP ikiwa kama sheria ya makumbusho, sera tangu 2009, sheria tangu 2010, lakini kwa miaka 13 hakuna mradi hata mmoja uliofikia utekelezaji kwa utaratibu huo. Ameingia madarakani, akaweka msukumo mpya, akaamsha mfumo...
  2. Lord Jesus Christ

    Kafulila amefanya jumla ya mihadhara 44 kati ya hiyo 34 ni ya kiuchumi -Dkt Kaihoza

    Jamaa akili ipo huyu hakutakiwa kuwa Tanzania wala Africa
Back
Top Bottom