Recent content by lookieloo

  1. L

    Nyoni hajafukuzwa kazi amepewa likizo kupisha uchunguzi

    Mama nyoni hafai period asimamishwe afukuzwe haijalishi she is insnsitive she feels she is up there. Wizara ya afya inahitaji sensititive people sooooooooo fired or not fired health is not for her!
  2. L

    Hoteli ya Mgonja? Parrot Hotel

    kwenye kula kuna class pia class ya mlaji utaijua
  3. L

    Hoteli ya Mgonja? Parrot Hotel

    umesema kweli hata ukiangalia standard yenyewe ya jengo na space / plot yakimaskini tu hiyo huyo sio mlaji katika walaji mlala hoi katika walaji
  4. L

    Vigogo wapigana vikumbo harusi ya binti Lowassa

    sis wa afrika tunapenda sana kusema wengine wakati tunahisi mtu yuko kwenye position lakini wote ni walaji na wasio walaji ndio mara nyingi wanaumia kwasababu hawana wakuwafunika madhambi. mimi nikila nawewe utakubali niende jela? fikirieni vizuri msidanganyike. Wakati umefika wa tanzania...
  5. L

    Vigogo wapigana vikumbo harusi ya binti Lowassa

    kinacho sikititisha ni kwamba badala ya viongozi wetu kutoa michango yakuleta maendeleo katika nchi wanatumimia pesa kunywesha watu wenye uwezo pombe na vyakula wakati tuna mamilioni ya watu wanaokufa njaa. hizi nitabia za kifahari na za ubinafsi. harusi ni kitu private you don't have to invite...
Back
Top Bottom