Recent content by Loi

  1. L

    Mengi and Litigations

    Huyu nae ni fisadi????Waungwana naomba maelezo maana yawezekana upeo wangu ni mdogo!!!
  2. L

    Sitta: Sikukejeli vielelezo vya Dk Slaa kuhusu BoT

    pole mzee sitta naona shoka limekukalia shingoni kazi kwako
  3. L

    Diallo TV na Ulokole kwenye sherehe ya mwaka mpya

    Sijaona tatizo kwa star TV, kwanza ilikuwa ni kuombea Taifa. Kwa nini hukuangalia ngwasuma TVT? kila mtu ana uhuru kuangalia au kutoangalia. Ni kiasi cha kubadilisha channell tu ndugu yangu.
  4. L

    Ni kweli Hazina hakuna Pesa?

    Waungwana, kilichotokea katika idara mojawapo ya serikali ambayo hakika kwenye bajeti yake imeingiziwa mipesa mingi na kwa kuwa haijali watumishi wake, kuna baadhi ya watumishi waliomba kwenda kusoma lakini wakapewa jibu kwamba hela hakuna wakati kwenye bajeti ilikuwepo!!Ila safari za kwenda...
  5. L

    Ni kweli Hazina hakuna Pesa?

    Waungwana naomba kuuliza , Je ni kweli hazina hakuna pesa?kama ni kweli nahisi ni huu upana wa Barza la Muungwana na safari zisizo na kikomo na maandamano ya utitiri wa watu kwenye hiyo misafara yake ya kwenda kuuza nchi.Naomba kuwasilisha na kuuliza.
  6. L

    Teuzi na Tenguzi za Viongozi Mabalimbali Zilizofanywa na Rais Wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (2005-2015)

    Tanzania ni kutumia bongo.Miradi ni aina nyingi na ukitaka pesa wewe kuwa against na serikali lazima utanunuliwa tu kama alivyonunuliwa MWKJJ! Huyo Zitto sitashangaa kama hatanunuliwa na RICHMONDULI. Yangu macho na masikio
Back
Top Bottom