Habari....
Mimi ni kijana, nimemaliza degree yangu ya kwanza UDSM mwaka 2014, katika course ya bcom finance........
Naomba mnisaidie nafasi ya internship/ kazi ili niweze kupata uzoefu, maana makampun mengi wanataka watu wenye uzoefu na kazi!
Siku njema.
Habari zenu....!
Ivi inakuaje makampun mengi hawapendi kuwaajili fresh graduate sababu hawana experiance.......sasa wataitoa wap iyo experiance wakati mnawanyima nafasi.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.