Recent content by livingroom_espionage

  1. livingroom_espionage

    MC CHIPOLOPOLO UMEKUWA TAPELI

    Usipoendelea kupokea simu ya yule Dada, Kesho hii habari utaikuta Clouds
  2. livingroom_espionage

    MC CHIPOLOPOLO UMEKUWA TAPELI

    Mimi ni mmoja wa wanakamati wa harusi ya mdogo wangu inayofanyika siku chache kwanzia sasa, umepokea pesa huonyeshi ushirikiano ? Je ni uungwana mpaka nakuja huku kulalamika ujue kwamba unataka kuharibu sherehe ya ndugu yangu. Sasa kiingwana mtu wa karibu wa MC chipolopolo mwambie hiyo hela...
  3. livingroom_espionage

    Nasikia Vise mchawi ni Kili tu, akipiga tano tu. Tumswalie Mtume. Lakini mbona vijana wa GSM sio walevi sasa kuna shida gani wakuu ?

    Ndio Maana yule kijana wenu anaitwa NURUVUZI watu wamvutia kasi tu anavyofanya ngonjera zake. Wewe hujui hapa JF tunakaa na wandewa.. Nawasilisha
  4. livingroom_espionage

    Hivi kuna mjuaji humu JF ameshawahi kutokea kama Gentamycin?

    Ni muhuni fulani hivi, jaribu kumfuatilia ndugu
  5. livingroom_espionage

    Hivi kuna mjuaji humu JF ameshawahi kutokea kama Gentamycin?

    Ni mwendo wa minyama tu mpaka waiban na hii
  6. livingroom_espionage

    Hivi kuna mjuaji humu JF ameshawahi kutokea kama Gentamycin?

    Habari jamani Huyu blaza simjui ila huwa naonaga anajua mambo mengi sana. Natuma salamu kutoka Mbeni Teta. Nawasilisha
  7. livingroom_espionage

    Hakuna mtu aliyetenda dhambi kubwa duniani kama aliuegundua kuweka sponji kwenye sidiria.

    Dunia hii Acha tu, YBWYB ijengewe sanamu mbweni, zanzibar, sinza mori na Buguruni chama
  8. livingroom_espionage

    Hakuna mtu aliyetenda dhambi kubwa duniani kama aliuegundua kuweka sponji kwenye sidiria.

    Tuna miaka mingi sana humu, Tena ni wa kongwe kweli kweli, wewe unajua hata story ya msoga na UK.
  9. livingroom_espionage

    Hakuna mtu aliyetenda dhambi kubwa duniani kama aliuegundua kuweka sponji kwenye sidiria.

    Yaani, ukiwa pale mashati bar njia panda ya mbweni huwezi kuamini macho yako. Dah! One man down, tena leo jumatatu mchana sijui ndio amekuja kula lunch alafu akamalizie pale DM Lounge. Nawasilisha
Back
Top Bottom