Recent content by lisycares

  1. lisycares

    Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Ule umati wa watu kwenye msiba wa Kanumba na Ngwea nao ulikua ni wa kisiasa?
  2. lisycares

    Redio punguzeni matangazo

    Clouds imezidi matangazo nilishajaribu kueleza hili kwenye ukurasa wao watafute mbinu mbadala serious inaondoa hamu ya kuendelea kusikiliza esp pale ambapo habari iko hot wanakatisha na kuweka tangazo
  3. lisycares

    Lisemwalo kuhusu Bongo movie

    Warembo katika mwonekano wao
  4. lisycares

    Nilisafiri na shemeji, kilichotokea naomba Mungu kaka asijue

    Mpaka achukue chumba kimoja bado hukuelewa,labda kama hukua na nauli ama hela ya kuchukua chumba kingine, lakini pia hata rafiki angekukopesha aaaaghhh uliamua kula Mali ya kaka
  5. lisycares

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Eti wameisababishia serikali hasara daa nikakumbuka ushabiki Wangu wa simba nilipong'oa viti na kusababisha hasara ,sasa najiuliza HV Leo nimesababisha hasara ya muda au hasara gani na kias gani cha hasara
  6. lisycares

    Dini tofauti ila nampenda

    Ni kuachana nae japo itaumiza ila utazoea ,suala LA iman usilichukulie simple kias hiko esp kwa kipind hiki cha vuta nkuvute, mwishon itakua shida zaidi,polee
Back
Top Bottom