Recent content by Lione

  1. L

    Hotel Mövenpick Dar es Salaam

    Gomeni tu ndo kilichobaki
  2. L

    Executive Outcomes, its offshoots, & the Scramble 4 Our Resources

    wungwana,kwanza poleni na kazi ngumu hii ya kupambana na hii midubwana,lakini kwa hili,mie kama vile nimedandia gari kwa mbele,nielewesheni zaid juu ya hawa crown agents,pili mwana kijiji,ile ripoti hata sijaijitia machoni,please fanya utaratitibu nami niipate
  3. L

    Gari la JWTZ laua askari polisi

    kua na uhakika kwanza
  4. L

    JK umesikia haya ya Machangu DC wa Nzega na Resolute T LTD Nzega ?

    mkuu lunyungu, napenda kukupa pole kwa yoote yalio tokea,lakini mkuu,mbona hapa sioni koneksheni ya matukio na malalamiko yako?naona kuna kaaina flani tu ka wivu?au kwakua unaongozwa na mwanamke katika idara ukaona namna gani?au kwakua huyo mama yuko karibu na huyo mama mkulu wa...
  5. L

    Serikali yaunda Tume kuchunguza Ufisadi Tanesco

    hivi jamani,kuna ulazima gani wa kuunda tume hapo?idrisa si yupo?kwanini wasimuite tu na kumuwajibisha after the natural justce?mbona simple tu!
  6. L

    Shihata

    nkwabi ng'wanakilala yuko SAUT AS LECTURER,just pop in itheir web and you get him strait away!
  7. L

    How Air Tanzania Should be Restructured

    Haya yooote,ni sawa sawia,lakini kuna haya yafuatayo ambayo ni muhimu saana, hizo dash8 zao je zina uwezo wa kuhimili mazingira yetu haya?yani viwanja vyetu vya vumbi na changarawe?ikumbukwe kwamba ziliwahi kuletwa maramoja hapo kabla,na zikaproove failure,kwenye haya maviwanja yetu,p 2:set up...
  8. L

    Precision Air Boeing 737 is grounded by TCAA

    jamani, muitendee haki hii kampuni,inatufuta machozi wa tanzania,tairi kupasuka ni ajali kama ajali ingine,na sio ajabu kwa precision kupasuka tairi,hata hivyo ni marangapi imetokea?kuhusiana nakua grounded kwa boeng ya precision air,ni kweli kwamba tcaa walikua wanaihitaji kwa ajili inspection...
  9. L

    Mataka bazazi?

    jamani,inamaana hamuoni kua hio tabia inaleta aina flani,ya uzembe?aina flani ya ukichaa ambayo kwa namna moja au nyingine inaathiri utendaji,uwezo wa kufikiri wa mtu husika?
  10. L

    Mataka bazazi?

    Waungwana! Kuna tetesi zimenipitia zikisema kua mataka yule jamaa wa atcl anatabia ya kunanihii wanaume wenzie na kwamba kawafuga wengi hapa town,mwenye ushahidi na hili nplease alete habari,labda laana hii ndo inaua shirika letu
  11. L

    Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

    jamani mmenikumbusha mbali saana,ile thinking tank, mzee mwaipaja,mama sendi,mzee wa 4by4 by 7,nakumbuka yale machunnwa,nakumbuka ya maembe,nakumbuka kuku wa kienyeji,wa kule mwanalugali,na kumbuka madome yoote kuanzia nyanza mpaka scandia,nakumbuka mashindano ya usafi,na yule jamaa wa michezo...
  12. L

    Shairi: Tupe Nguvu Subihana!

    Inshaalah, amutusikia,na anatuona! Wabilahi taufiq
  13. L

    Cheche: Ya Mboma, Meremeta, na Apson!

    kaka hapo mie chitemi wala chimezi!
  14. L

    Hatima ya Manji na Uchunguzi wa EPA

    jamani kweli huyu manji mgonjwa,lakini sio sumu ni yale mambo yake ameyazidisha,inawezakana,makusudi kafanya hivyo
  15. L

    Hatima ya Manji na Uchunguzi wa EPA

    WAKUU< Nimethibitisha kwa sosi yangu iliyo pale agakhan,kwamba ni kweli kua yupo pale,na ni kweli kwamba hali yake ni dhoofu,lakini sio sumu ila alijiovadozi yale mambo yake,na jana jioni hali ilizidi kua mbaya,kwa hio ni kweli na uhakika kabisaa kua huyu mwizi ni hoi,ila mungu atusaidie asife...
Back
Top Bottom