Kwani mwanamke akiwa na degree ni kigezo cha kutomtumikia mumewe hata kama ni darasa la saba?
Yuko jirani yangu hapa, wote ni walimu. Mume ana diploma na mke an defree na ni headmstress.
Sometimes anatoka kazini anaingia kwenye dishi nguo za familia nzima. Weekend sometimes wanasaidiana...
Control number zote hazina kamisheni kwa wakala. Sasa, wakala analipa kodi ya mapato, leseni ya biashara na ushuru mwingine na michango juu. Halafu wewe akuhudumie bure. Wewe ungekubali?
Weka kwenye simu yako au akaunti yako upewe hela bure halafu lipia mwenyewe.
Matako mnalipia, ila huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.