Mimi binafsi nilikua napenda sana Oraimo kwa ajili ni low budget gadgets ambazo zinakupa muziki mzuri, ila katika kutafuta nikapa Raino aisee hiyo ni balaaa, ina muziki mzuri na bei yake ni chini ya 20k. Naona ni toleo jipya linatafuta kupenya ktk soko. Mziki bass lakitosha na ni clasissic hadi...
Bidhaa za kichina hizo ambazoanufacturer an kupa offerya kucustomizer jina unalolitaka, Sasa Majizo hicho kiwanda kipo wapi, na lini alikua mbunifu wa mambo ya sound system!?
Namba saba ni maxmam cold temperature, ukiweka namba hiyo vitu vitapata ubaridi kwa haraka au kuganda kwa haraka kama unataka kugandisha.
Shida ni kua ukiweka namba sama fridge haitakua ina fanya themostart hivyo itapelekea umeme mwingi kitumika kwa maana haitakuwa inajizima na kujiwasha...
Unajua kua thamani ya kiwanja inapanda kila siku, sasa kama ni umesikini umeletwa na nyumba basi unaweza kuuza ukaenda kujenga sehemu ambayo mji unakuja na ukapata angalau kamtaji ka kuanzia au kuendelezea biashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.