Ingawa inauma lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi wanajua wanawake hawaaminiki ndio maana hawapendi hata kugusa simu zao wasije wakakumbana na balaa litakaloweza kusababisha ndoa kuvunjika.
Huu uzi ukitaka kuuelewa usome taratibu alafu utafakari taratibu kiutu uzima na kwa hekima bila hasira hapo hapo utauelewa na utamuelewa alieleta huu uzi.
Jamani mnamshambulia huyu dada bure kwa kuweka wazi hisia zake lakini ukweli ni kwamba haya mambo yapo kwa wanawake wengi ila hawathubutu kuleta uzi hapa kama huyu dada, ila wapo hata wanaothubutu kutongoza wanaume na sio jambo geni ni mambo yapo tangu enzi si mnakumbuka kijana Yusufu...
Ukweli ni kwamba kuna changamoto utakutana nazo huko mbeleni kutokana na kuoa mke mwenye mtoto wenda hata huyo mrundi baada ya miaka kadhaa akaja kumuona mtoto na lazima mzaz mwenzie atatoa ushirikia maana burundi sio mbali na kama aliweza kumtia mimba hapa atashindwaje kuja kumuona mtoto, na...
Ushauri wangu muone kama bint yako na kamwe usiruhusu tamaa juu yake kumbuka yule ni mtoto wa mwanaume mwezio na pia kumbuka zinaa ni deni, ukizini na bint wa mwenzio na bint yako ataziniwa haijalishi ni mwaka upi na ukiheshimu bint za wenzako na bint zako wataheshimiwa.
Ndugu sio kila ushauri wa kufwata kumtolea mungu ni hazina umejiwekea mbinguni na mungu anazidi kukubariki hakuna aliyemtolea mungu akafilisika. Na kutoa sio lazima kanisani hata ukimsaidia mwenye shida pia ni sadaka anga nchi za ulaya zinatoa nsaada ktk nchi maskni na zinazidi kubarikiwa.
Hasira hasara siku zote usitoe maamuzi ukiwa na hasira, kama haya uliyoamua ya kuuza nyumba hapo umechemsha hata kuwa na mchepuko siungi mkono, maana sio suluhisho la tatizo bali umejiongezea matatizo.
Hongera kwa maamuzi yako ya busara pia nakupongeza kwa utulivu uliouonyesha hata baada ya kuelezwa ukweli, ni wanaume wachache wanaoweza kuvumilia jambo kama hilo na kuweza kuwa watulivu na kufanya maamuzi ya busara kama wewe.
Sishangai mnavyompinga mwamposa maana hata yesu mwenywe alipingwa, ila kwa wenye imani wanajua mwamposa ni na wamesaidikaje baada ya kumwamini nakuamini mafundisho yake. Ishu hapa ni imani kama huna imani hutajua kusudi la mungu lililoko ndani ya mwamposa. Hivi jiulize wanaoshuhudia kila siku...
Kama kweli unampenda unaweza kumuowa na akaja kuwa mke mzuri na mweye kukuheshimu maisha yake yote kikubwa kaa nae mezani mwambie huyo aliyekutelekeza asije kupasha kiporo moto, Saa nyingine wanaume tuwe na huruma sio wanawake wote waliobebeshwa mimba ni wahuni kama huyo aliaminishwa anamuoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.