Recent content by Leonard Robert

  1. Leonard Robert

    Hawataki amani, hawataki maridhiano, wanataka vurugu

    naungana na wewe CDM ni chama kidogo kisichokuwa na umuhimu..ni vizuri mridhiane na na vyama vingine vikubwa kama CHAUMA na TLP
  2. Leonard Robert

    Kwanini Tanzania tumeng'ang'ania uchumi wa frame za maduka? Mbona hata ufugaji unalipa?

    mimi naona ni uvivu wa kutafta fulsa tofauti tofauti wanaona kitu rahisi kwap ni maduka ya nguo
  3. Leonard Robert

    Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    kikwete alisema..miingoni mwa waandishi na wachora katuni hizo za punch.. mmoja wao ni jaji tena Jaji mwenyeo cheo kikubwa
  4. Leonard Robert

    Siwezi kudanganya, kumwona Rafael leão akivaa jezi nambari 7 ya ureno inaleta hisia za ajabu sana

    shida veteran Ronaldo hataki kustaafu kwa heshima..amekuwa king'ang'a... aliwwagarimu sana kombe la dunia huyu kibabu.. sasa watu wenye busara zao..wameamua kuanza kumpunguza..kidogokidogo..
  5. Leonard Robert

    Kocha wa Gaborone apigwa ngumi: TFF Ichukue Hatua Kulinda Taswira ya Tanzania

    hili ni jambo la kipumb@vu kuwa kutokea ndani ya miaka kumi iliyopita..
  6. Leonard Robert

    Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    tuwekee picha ya makalio makubwa ya shemeji yetu tuone kama ni kweli..
  7. Leonard Robert

    Nasikitika kusikia kwamba labda Rachel Dangwa ametekwa

    sina hakika kama hawa vilaza wanaweza kwenda Japan na kuteka mtu bila kukamtwa
  8. Leonard Robert

    PostGE2025 Tuorodheshei hapa mikoa kondoo yenye watiifu ambayo ilikuwa imepoa 29 October

    mwanza..ilikuwa noma..kuna maeneo ilipita wiki bila polisi kukanyaga
Back
Top Bottom