Recent content by Leo1

  1. L

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa👉 A5A9A4T
  2. L

    Nahitaji website kwa 100k

    Utapeli gani hapa umeuona?
  3. L

    Nahitaji website kwa 100k

    Akifuata ushauri wako ataishia kujilaumu bure na kula hasara. Website ni zaidi ya kutengeneza. Kuna kuhakikisha website unaweka SEO nzuri ili iwe kwenye rank za juu Google. Acha kupotosha watu
  4. L

    Nahitaji website kwa 100k

    Wewe ndiye mpuuzi. Wewe unadhani website za kutumia ready made themes na plugins? Hapa tunazungumzia website hasa.
  5. L

    Nahitaji website kwa 100k

    Website ndiyo ni dubwana la ajabu sana. Acha na website za kucustomize tu kwa kutumia WordPress au Wix. Nazungumzia website za kudevelop from the scratch wewe mwenyewe
  6. L

    Nahitaji website kwa 100k

    Ni kweli mkuu. Ila siyo rahisi kiasi hicho. Hiyo website unayosema wewe inategemea inakuwa na vitu gani.
  7. L

    Nahitaji website kwa 100k

    Siyo wezi mkuu. Hivi unajua maana ya website wewe? Wewe Google mtandaoni uone website ina gharimu shilingi ngapi. Milioni mbili ndogo sana kwa ajili ya kutengenezewa website nzuri.
  8. L

    Nahitaji website kwa 100k

    Anasikitisha sana huyu.
  9. L

    Nahitaji website kwa 100k

    Mkuu unadhani hiyo website ya $26 na domain ya 40k ni website nzuri? Acha kumpotosha mwenzako. Kama anataka website nzuri aandae zaidi ya 500k siyo chini ya hapo. Pia acha kucheza na taaluma za watu basi.
  10. L

    Nahitaji website kwa 100k

    Aina gani ya website unayotaka?
  11. L

    Upi Wakati Sahihi Wa Kufanya Mazoezi, Asubuhi Au Jioni?

    Kila mmoja na alivyo zoea. Ingawa asubuhi huwa naona kama ni wakati sahihi zaidi
  12. L

    Upi Wakati Sahihi Wa Kufanya Mazoezi, Asubuhi Au Jioni?

    Ni kweli mkuu. Hata mimi napenda kufanya mazoezi wakati wa asubuhi
  13. L

    Upi Wakati Sahihi Wa Kufanya Mazoezi, Asubuhi Au Jioni?

    Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
  14. L

    Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

    This has to be changed. You need to make a new paradigm shift concerning your attitude about this.
  15. L

    Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

    So you gonna carry the emotion of revenge in your mind forever?
Back
Top Bottom