Recent content by lekiko

  1. lekiko

    Hivi kuhama nyumbani kwa wazazi na kwenda kujitegemea, ni kipimo cha mafanikio ya maisha?

    Mwanzo 2:24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. NI AMRI,JIULIZE HAO UNAOWAITA WAZAZI WANAISHI KWA NANI. NA WATOTO WAKO WATASEMA WANAISHI KWA NANI.
  2. lekiko

    Kibaha: Mbunge na Meya waumana katikati kikao cha baraza

    Ndio, kumbuka hakimu hawezi kuhukumu bila joho, askofu padri na wainjilisti hawawezi kuendesha Ibada bila mavazi rasmi, kanzu/joho, rubani harushi ndege mpaka awe kwenye vazi rasmi hata hao Askari vikosi vyote Wana mavazi yao ya utambulisho, makondakta na madereva nao Wana mavazi yao rasmi...
  3. lekiko

    Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Kwa ujinga wangu ninaamini Kila raia ni usalama wa taifa na ndio sababu tunaambiwa kama umeona tukio lolote lenye kuhatarisha usalama wa taifa Unatakiwa kulitolea taarifa kwenye chombo husika na kama usipotoa taarifa unakuwa umetenda kosa. Kwa hiyo hata wewe tembea kifua mbele sababu pia ni...
  4. lekiko

    Kibaha: Mbunge na Meya waumana katikati kikao cha baraza

    Ni UPUMBAVU wa kiwango cha lami, Mbunge anapoingia kwenye kikao cha madiwani na yeye anakuwa ni diwani, hivyo anapaswa kufuata utaratibu na Sheria zote ndani Baraza, pili anatakiwa atambue kwamba hata spika wa bunge anapokuwa mwenyekiti wa kamati huvua joho la uspika na mwisho kwa kumsaidia hata...
  5. lekiko

    Mchungaji Kimondo: Kama kahukumiwa kwa uchaguzi kuvurugika viongozi waliopo madarakani hawapo kihalali

    Ungeweka alama ya kuuliza mwisho wa kichwa cha habari. Sababu ukiisikiliza ndio utaelewa kuwa Mchungaji aliuliza kuwa "WAPO KIHALALI?"
  6. lekiko

    Kwanini watu wa Moshi wanaitwa wa Kaskazini wakati Kilimanjaro ipo Mashariki?

    Ukweli kilimanjaro ipo Mashariki kwa Kanda nne, na Kaskazini mashariki kwa Kanda nane, na sio Kaskazini, kwa uelewa wangu mdogo nahisi ukanda huo wa Kaskazini jina lilitokea dar-es-salaam, sababu muelekeo kutoka dar ni kaskazini, mbaya zaidi ni kwamba Kuna Kanda zimepewa majina ambazo huwezi...
  7. lekiko

    Kifungo Cha Lissu Kiwe Funzo kwa Vijana Wa CHADEMA na kutambua Hakuna Aliye juu Ya Sheria . Leo Lissu Yupo Gerezani Mwenyewe Na Maisha Yanaendelea.

    Ipo tofauti kati ya kuongoza na kutawala, ukiweza kutofautisha maneno hayo Wala huna haja ya luandika ulichokiandika, ni jambo la Aibu sana, na hapa ndipo unapotimia ule msemo wa kwamba wote waliopo magerezani sio kwamba wametenda makosa wengine wamesingiziwa.
  8. lekiko

    INSP:Makere ataka kurejeshwa vikundi vya ulinzi shirikishi Kata ya Msaranga Moshi

    Nyumbani ni nyumbani, enzi hizo Mzee Eriamin Mshiu, Julias Ngowi, Hendri Ngowi, Fredison Ngowi, Heriel Moshy, Kaburure Kiwale, Kusiriel Maro, Isaya Ngowi, Tomas Lyatuu, Manase Lyatuu, Mzee Elirumisha Maro, Mzee Mrema, Naiman Lyatuu,, Cliff Masamu, Lameck Masamu, Naftali Ringo, Reuben Ringo...
  9. lekiko

    PostGE2025 Balile: Lissu alifanya uchochezi

    Huyo ndiye kiongozi wa wahariri ambao wanategemewa wafanyakazi wao wafànye kazi mujibu wa muongozo wao unaowataka bila upendeleo Wafuate utaratibu wa 5W, 1H. Ili taarifa inapomfikia mlaji yaani msomaji, msikilizaji na mtazamaji yeye ndie awe msemaji au muamuzi wa alichokipokea kutoka kwenye...
  10. lekiko

    Maswali yangu machache kuhusu hukumu iliyotolewa katika kesi ya Tundu Lissu

    Chini ya miezi 6 anagombea, kumbuka sugu alishafungwa miezi 6, na aligombea.
  11. lekiko

    Tetemeko la Ardhi lapiga Kanda ya Ziwa muda huu

    Hata Kampala nimelihisi
  12. lekiko

    Wizi uwanja wa AFCON Arusha

    Kuna kiongozi aliwahi kusema mkubwa Fulani anawaleta wachezaji wenye majina makubwa kwa kutumia pesa yake, Sasa sijui Huwa analipwa kiasi gani, pengine ndio hizo hizo za mgao.
  13. lekiko

    Faris: Kwa kazi hii aliyofanya Rais Samia, unayejiandaa kumzamisha Rais Samia tutakuzamisha wewe

    Nafikiri tuliingia kwenye mfumo wa siasa wa vyama vingi kwa kulazimishwa ndio sababu ya kuwa na viongozi wenye kauli za shombo kama hizi, hivyo wengi waliamini vyama vingi ni uadui chuki na kwa gharama yoyote aliyepo madarakani yupo tayari kuilinda nafasi yake hata kwa kuuwa wote wanaompinga...
  14. lekiko

    PostGE2025 Padre Kitima: Kanisa lilionya kutofanya uchaguzi kabla ya kurekebisha kasoro za uchaguzi

    Labda kama huelewi, "Roman Catholic" ni dhehebu, na kiongozi wake mkuu ana kiti umoja wa mataifa hivyo kama unafahamu kiongozi wa dhehebu hilo anapofanya ziara kwenye taifa lolote kwanza anatambuliwa kuwa ni kiongozi wa nchi, na pia anatambuliwa kuwa ni kiongozi wa dini, Sasa ujiulize wewe...
  15. lekiko

    Serikali inahamasisha zinaa na kuharibu familia. Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hapaswi kupewa urithi

    Uharamu ulianza kipindi cha uumbaji, na kama utabisha basi vitabu vya dini vina makosa, jambo la kwanza nani aliyewafungisha ndoa Adam na Hawa/Eva, pili kama wazazi wetu wa kwanza ni hao, je! Watoto wao wa kiume walipata wapi wanawake wa kuwaoa, na je! Watoto wao wa kike walipata wapi wanaume wa...
Back
Top Bottom