Kazi ambayo hata Yesu alitoa muongozo.
Luka 3:14
Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
Ukisoma hapa inaonyesha matendo kwenye hiyo kazi. Uwe tayari kudhulumu,kushtaki kwa uongo na pia...
Ni kosa kubwa sana kwa watu wa leo kujikuta unazaa kwa mihemko.
Jiulize wewe hapo ni kiasi gani umewasaidia wazazi wako kwa kukuzaa kabla hujazaa kwa kuamini watoto watakuja kukusaidia.
Utumishi wa umma maana yake wewe unakuwa ni mali ya umma(Public property and figure).
Unakuwa umeomba kuwatumikia Watanzania.
Sasa kabla ya kwenda kuomba hiyo kazi hebu pitia kwanza tamaduni za Watanzania na maadili yao. Ukiweza pia jifundishe kanuni na sheria za utumishi wa umma.
Tatizo letu...
Haileweki kabisa.
Mwanaume anapanda kitandani kulala kabisa. Huo muda anautoa wapi?
Mwanaume unakuwaje na kitanda?
Mwanaume unaegemea mti hadi asbh unaenelea na mishe zako
Naunga mkono hoja ila pia nina jambo la kuongezea hapo.
Jamii yetu bado inaamini mtu mwenye maneno mengi basi ana ujuaji mwingi. Kitu ambacho sio kweli. Wengi wanaongea vile kimihemko wakiamini kuwa lazima mteja atanunua kwa kupitia ushawishi na siyo kutimiliza hitaji.
Pia, jamii yetu bado...
Na siyo uzinzi na nyeto tu. Kila amuangaliaye mwanamke au mwanaume kwa matamanio basi huyo amekwisha kuzini naye.
Sasa unaweza kuona ni namna gani hakuna alie salama.
Yaani uliacha kazi sababu ya kunyenyekea sana watu.
Ndugu, hata leo ukijiajiri, mteja ndio boss wako. Usitegemee utanyenyekewa wewe na bado mteja atoe hela kununua bidhaa au huduma yako.
La muhimu jifunze maarifa na lugha ya kumshawishi mteja kuendana na kazi ulionayo na usijione kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.