CHOZI LA MDOGO WANGU
MTUNZI: LAYMAN DONSUE
UTANGULIZI
Ijapokuwa huzuni kitakapopita kicheko, umasikini ukiweka kambi katika malango yako.
Ama pepo la utajiri likikupitia, iwe kwa ugumba ama kwa maradhi mshukuru yeye aliye juu.
Maana yeye, Anajua kwa nini anakupitisha katika hayo...
SEHEMU YA TATU
Yule mkaka akasogeza kisu kile taratibu, sasa muda anasogeza nami nimejiandaa kwa maumivu mara akaacha.
"Nini tena" mmoja akauliza.
"Nawaza tumpe adhabu nyingine, hii ni kubwa sana, bora kumuua kuliko kumtoboa macho" alijibu.
Unajua upande wangu nilishangaa sana, yaani huyu...
SEHEMU YA PILI
"Enjo mama" alisema hivyo huku akipapasa mgongo wangu kunipoza, sikuitika maana hata nguvu za kutoa sauti zikiwa nazo tena.
"Mimi nitakuwa baba, nitakuwa mama pia nitakuwa ndugu yako sawa Enjo" aliendelea kusema maneno hayo ambayo kwa mbali sana yalikuwa yanatengeneza faraja...
CHOZI LA MDOGO WANGU
Na Layman Donsu
UTANGULIZI...
Ijapokuwa huzuni, kitakapopita kicheko.. Umasikini ukiweka kambi katioka malango yako.. Ama pepo la uatajiri likikupitia, iwe kwa ugumba ama kwa maradhi mshukuru yeye aliye juu, kwa maana yeye ndiye anajua kwanini ananakupitisha katika hayo...
KUTOKA KUWA BINTI MWEMA KANISANI MPAKA KUWA MUUAJI TISHIO
MTUNZI: LAYMAN DONSUE
KANUSHO: RIWAYA HII NI YA KUBUNI, HAINA UHUSIANAO NA TUKIO LOLOTE LA KWELI WALA LINALO FANANA NALO, ISITAFUSILIWE TOFAUTI.
UTANGULIZI...
Maisha bora hayaji kama ndoto za abunuasi, kama ukitaka kufanikiwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.