Recent content by Lavender

  1. L

    Raisi kikwete anaozesha ubungo plaza kimyakimya!!

    Thats what I was thinking before,because I saw the way the guy was behaving here,it is unbelievable.But lets hope he decided to leave all that behind when he decided to marry her. She seems a nice,intelligent woman.
  2. L

    Ufisadi wa Kifo Vipimo vya UKIMWI

    Are you for real????? How can you ever suggest something like this???
  3. L

    Ufisadi wa Kifo Vipimo vya UKIMWI

    Mimi binafsi nafikiri tatizo hili la Ukimwi Afrika, miongono mwa sababu nyinginezo,moja wao ikiwa upungufu wa elimu ya kutosha, na hulka za waafrika. Hadi miaka ya katikati ya tisini,elimu ya ukimwi na magonjwa ya ngono yalikuwa hayaja wafikia wengi,Tanzania,napia nchi za ulaya na marekani...
  4. L

    Raisi kikwete anaozesha ubungo plaza kimyakimya!!

    Hahaha jamani watu wengine!!!! sina mbavu!!!
  5. L

    Ridhwani afunga ndoa!

    Hongera kwa maharusi.Ila huyu dada aombe Mungu sana,maana Ridhiwani tabia ikiendelea design kama alivyokuwa UK, ndoa itakuwa ngumu sana,a leopard cannot change its spots!!! Kila la kheri. Na huyu binti ni mchagga kweli?kama watu walivosakama humu???
  6. L

    I will never date a lady through the internet

    Wewe Dr kweli unamajeraha ya kisaikolojia. Mwanamke hujamuona kwa macho yako, wala kuishi pamoja,anakwambia hata watoto wake wamekubali aolewe na wewe!!! Yaani na udaktari wako wote huku weza kutambua kwamba it was never real? Halafu wewe uko Tanzania mwanamke yuko Australia,hata kama ndio long...
Back
Top Bottom