Recent content by LastChance

  1. L

    Haya maneno ya Rais Mstaafu Kikwete yataishi milele

    Tatizo katiba mpya haiwezi kuletwa na Rais aliyeko madarakani peke yake. Jua yeye Rais anakuwa ameshakula vya kutosha na kushiba lakini wapambe waliyoko nyum yake wanakuwa bado hawajashiba hivyo hawawezi kumpa support kwenye hilo la kutaka kupoteza ulaji. Katiba mpya itagusa maslaji ya watu...
  2. L

    Freeman Mbowe anatumia mbinu gani za kiuongozi?

    😂😂😂😂😂😂😂 So ubunifu wako wa kuvuta buku7 leo umeishia hapa! Mbona fupi sana, utalipwa kweli maana umeandika kivivu sana
  3. L

    Chumba kinahitajika

    Habari wakuu. Kinahitajika Chumba na Sebule cha kupanga jijini Dar es Salaam maeneo yoyote lakini upande wa Mbezi mpaka ubungo na njia ya Goba. Budget ni laki moja kwa mwezi. Karibu PM kwa mawasiliano Asanteni
  4. L

    Nimesoma Shahada ya IT, nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4. Natafuta kazi ama ya IT au yoyote

    Mkuu PHP najua japo siyo sana navyojua Aspx, Javascript nafahamu pia kwa kiasi kikubwa. Asante kwa ushauri wako mkuu
  5. L

    Nimesoma Shahada ya IT, nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4. Natafuta kazi ama ya IT au yoyote

    Asante mkuu, ubarikiwe sana. Jumatatu naenda kuwacheck
  6. L

    Nimesoma Shahada ya IT, nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4. Natafuta kazi ama ya IT au yoyote

    Mkuu ni Bachelor of Science in Information Technology kwa kifupi ni Bsc. IT
  7. L

    Nimesoma Shahada ya IT, nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4. Natafuta kazi ama ya IT au yoyote

    Ni kweli kabisa mkuu, pesa kidogo ukipata unawaza familia na kodi. Kikubwa ni kutokukata tamaa
  8. L

    Nimesoma Shahada ya IT, nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4. Natafuta kazi ama ya IT au yoyote

    Mkuu napatikana Dar es Salaam. Namba ya simu ya mkononi ni 0688759894
  9. L

    Kwanini vijana wanakufa sana kushinda wazee?

    Nafikiri stress ndiyo chanzo kikuu
Back
Top Bottom