Recent content by Langliguara

  1. L

    Mbn mnaogopa hil?

    Jina lako ni hatari!...
  2. L

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Wanawake wengi waliyochangia mada ni masingle - mother wanawake wenye degree hawana soko la uolewaji waliyobahatisha kuolewa wako responsible sana kwenye familia zao.
  3. L

    Embu Taja Vyakula Vinavyostahili Kuitwa Vyakula vya Taifa.

    Chakula kikuu cha taifa ni A. Ugali B. Wali Vyakuka hivi vinaliwa kila siku Kwa 90%
  4. L

    Hivi ustawi wa jamii ni kutetea wanawake hata wanapokosea, au ni kusimamia haki za kila upande?

    Single mother sio mtu alishaumizwa hana tena cha kupoteza achana nae huyo jamaa yako au kama ni wewe ukitaka mchepuko tafuta mdada ambae hajazaa ogopa single mother kuliko ukoma.
  5. L

    Sababu 10 za watanzania kuwa masikini

    Mtoa mada umesema vizuri nakubalina na wewe 100% A. Kupata kazi na kijipanga. Mtu anapata kazi badala ajipange Kwa future anakimbilia kuoa kwamba nikifika bila mtoto itakuwaje mwisho wa siku anaishia kuwa mtumwa wa kausha damu kuendesha gari anasubiria kustafu.
  6. L

    Sababu 10 za watanzania kuwa masikini

    Nice analysis.
  7. L

    wakuu nauza kiwanja Mwanza

    900m ni uongo
  8. L

    wakuu nauza kiwanja Mwanza

    Taja bei
  9. L

    Hawa viongozi na watumishi wa umma tulio nao ni wazi wamelelewa na viboko Je vimewasaidia vipi kuwa na maadili na waeledi katika kazi zao!?

    A. mwanafunzi wa kiafrica na viboko ni sawa na samaki na maji . B. Viboko ndo vinarudisha watoto nyuma bila viboko huko shuleni hakutakalika . C. Watoto wa single mother wataharibika zaidi kwa sababu ma - single mothers hawachapi watoto . D. Ufukuzaji na usimamishaji ( suspension &...
  10. L

    Sikujua kama God bless Lema ni Mpuuzi wa kupuuzwa kiasi hiki!

    Hivi machame ni kitongoji au Kijiji?....
  11. L

    Wanaume msiotaka kuoa na wanawake msiotaka kuolewa mkizeeka mtalelewa na nani?

    Mtoa mada una mawazo ya kimaskini ya kizamani Iko hivi : A. Pesa . Pesa ndo silaha pekee ya kutatua matatizo Kwa haraka na uhakika mzee mwenye pesa Kila kitu anapata soon as possible . B. Uwekezaji. Ukiwa na njia sahihi za upatikanaji wa pesa hata ukizeeka utaishi kama malaika. Nb. Tukubali...
Back
Top Bottom