Recent content by Lamborgini

  1. Lamborgini

    Uchaggani, sitawahi kaa niende huko!

    Pole mkuu na childhood trauma
  2. Lamborgini

    Mwanamke kukwambia shida zake za kipesa dakika chache baada ya tendo, hii imekaaje?

    Umaskini mbaya sana,anyway kula uliwe ndo wanawake zetu hao
  3. Lamborgini

    Toka kuzaliwa sijawai shiriki mapenzi!

    Sawa mkuu sijawahi ona mtu wa character yako kumbe mpo
  4. Lamborgini

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Hizo concept ukizifatisha ni ngumu jeff bezo wa amazon mwaka jana kanunua yatch ya $300m na ni tajiri
  5. Lamborgini

    Kwanini viwanja vingi vya mpira hapa bongo vinawekwa "Running tracks"?

    Tatizo viwanja vingi vya serikali lazma waweke multipurpose,vya binafsi hawawezi weka ivo
  6. Lamborgini

    Kijana aliyemrekodi mwanafunzi wakiwa faragha anaitwa Kelvin. Polisi wamdaka na kutoa maelezo haya…

    Yani video yako ikishaingia grupu za telegram your fucked huwezi zuia kusambaa, but jamaa kazingia yani unakula nyara haram ya serikali na unarekodi
  7. Lamborgini

    Usela sasa nauaga rasmi!

    Aisee umeamua kuingia jela mkuu
  8. Lamborgini

    Nadili vipi na mwanamke anayejisikia sana?

    Kuwa strong as man mwambie nataka kuwa na ww sio eti unaweza kuwa na mm wtf bro
  9. Lamborgini

    Naipongeza Serikali kubadilisha jina la Magufuli City (Mji wa Magufuli) kuwa Mtumba

    Si kitu kibaya ila sisi tumezidi Jenga mji wako weka jina lako
Back
Top Bottom