Ungejua mafunzo ya polisi usingeongea.....kama amekaa ofisini sana bila mazoezi hapo sawa...ila acha kabisa......45yrs ukute ana miaka 25 yuko ofcn....
Lazima uwe huna ajirq kabisa .....ndio watakupa sasa uko serikalini.....hakuna namna hadi ustqafu.....unaweza ukafuatilia hakikisha majority wako zamani amepeleka michango yako yote ...nenda sasa! Ila hutaweza kutoa...
Mpunga Suna ......wanadai ...kuna wakati wanapagawa ukiwa ndio unaletwa hapo wanavyogombaniaa khaaa saa ingine kuna aibu mm huwa naksona......plus wanaweka kwenye mifuko baadae wanasema hawajala......au basiingoja niishie hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.