Recent content by lady j

  1. lady j

    Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

    Huyo mkaka ni mchaga wa marangu ukoo wao ni kyara. Amekulia ilala mchikichini ktk kanisa la kilokole,baba yake alikuwa mchungaji wa hilo kanisa sasa ni marehem.
  2. lady j

    CCM Msijitoe ufahamu mtu pekee aliyekuwa nawabeba ni Magufuli! Sasa hayupo jiandaeni kisaikolojia!

    Mama kama atagombe 2025 yatamtokea ya Joyce Banda. Mama njia zao zinafanana.
  3. lady j

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mungu Azidi Kutetea Na Kumpigania Mh Lisu. Kila Mtanzania Mwnye Mapenzi Mema Tuzidi Kumuombea Ktk Iman Zetu Ili Mungu Ampe Uponyaji Wa Haraka.
  4. lady j

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Mungu Azidi Kutetea Na Kumpigania Mh Lisu. Kila Mtanzania Mwnye Mapenzi Mema Tuzidi Kumuombea Ktk Iman Zetu Ili Mungu Ampe Uponyaji Wa Haraka.
  5. lady j

    Manufaa ya mkojo na kinyesi cha sungura

    Dah! Hizi Fursa Zingine Mi Umiza Kichwa.
  6. lady j

    Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

    BWANA AMETOA NA BWANA AMETWA, JINA LAKE LIHIMIDIWE. DUNIA TU WASAFIRI NYUMBAN KWETU MBINGUNI HIVYO INATUPASA TUMCHE MUNGU .
  7. lady j

    Sakata la Madini: Maftah Nachuma ampinga Tundu Lissu

    Waweke Wazi Hiyo Mikataba Ili Tujuwe Nani Anaonge Ukweli. Kama Hawatafanya Hivyo Watakuwa Wanatafuta Kiki Coz Kila Mtu Anaongea Lake.
  8. lady j

    TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Now Nimeamin Ngoja Ngoja Inaumiza Matumbo.
  9. lady j

    US Navy Operation red wing

    Hongera Kwa Kazi Nzuri.
  10. lady j

    Uzalendo wa Rais huyu umenishangaza sana!

    Naona Mheshimiwa Joseph Petro Momo Anatupaka Mafuta Kwa Mgogo Wa Chupa!! Yangu Macho Na Masikio.Ni Jambo La Muda Tu.
Back
Top Bottom