Recent content by Kyoombe

  1. Kyoombe

    Ipp acheni ukabila crew yenu mzima ni wachaga watupu

    Wafanyakazi wa IPP ni mchanganyiko wa makabila mengi. Wewe kama hukukidhi vigezo nenda kwenye kampuni za ujenzi ukabebe makarai ya zege
  2. Kyoombe

    PreGE2025 Wasomi wanaomsifia Rais Samia wasema wanachukizwa kuitwa chawa, wasema wao ni watu wenye akili timamu

    Ee mwenyezi Mungu hawa wanaukana binadamu wao tunakuomba uwape wanachostahili. Amina
  3. Kyoombe

    PreGE2025 Salim Kikeke kutoka BBC Swahili hadi kuwa Chawa mkubwa wa Rais Samia

    Binadamu kujiita chawa ni kukosa heshima kwa Mwenyezi Mungu.
  4. Kyoombe

    Utaratibu Mpya wa Mawaziri Kukagua na Kuzindua Miradi isiyo katika Wizara zao Hauwezi kuleta migogoro?

    Sasa Bwana Lucas hilo nalo umebubujikwa na machozi???
  5. Kyoombe

    Gazeti la Mwangaza, linaangaza kila mahala Jumatano ya tarehe 27 Agosti, 2024.

    Chawa wanapotosha watu waamini huo uongo
  6. Kyoombe

    Serikali imeshindwa kutatua kero na matatizo yatokanayo na bodaboda na Bajaj nchini!

    Godbless Lema alisema bodaboda ni kazi ya laana akapuuzwa
  7. Kyoombe

    Utambulisho member mpya: Hodi

    Nani amekuelekeza kuja mtaa huu?
Back
Top Bottom