Recent content by Kyenju

  1. Kyenju

    Kipanya: Mtakuja kulia! Wachina hawaji kwa bahati mbaya, ni mpango wa Makusudi

    Waache waendelee kuja, labda jitu lililolala linaweza kuamuka.
  2. Kyenju

    Ulikutana na nini uliponunua gari used hadi ukajuta kununua gari

    Tuliitest kwenye lami, safi kabisa. Nilipoingia kwenye barabara zetu za mashimo mpaka nafika myumbani baadhi ya vipuri vilikuwa kwenye tenga ila ndani ya hiyo gari.
  3. Kyenju

    Mimi nimezaliwa na mama mzungu na baba mtanzania ila maisha ya Afrika hainipendezi

    Mjinga kweli😄 Wewe Mmatumbi kabisa na kipilipili kichwani!
  4. Kyenju

    Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

    Ogopa njaa hasa ikiuma mpaka ikakaza, umesha kunywa maji mpaka unasikia vichomi. Wanasiasa wengi nje ya siasa ni njaa kali sana.
  5. Kyenju

    Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

    Kuna nini huku uraiani! Maana nipo deep underground yapata miezi mitatu sasa, huko ni kazi kazi ukizingua nakozi za kutosha. Ukija huku uraiani ni kama umeingia sayari ya masi. Anyway! Huyu mwamba anaomba msamaha makosa yake nini? Au ni woga wa kilimo cha mikono!
  6. Kyenju

    Biashara ya stationary

    Jipange vizuri, hii ni moja ya biashara zenye ushindani mkubwa. Location, vitendeakazi vizuri vyakutosha, na vya kisasa huduma nzuri, na ubora wa kazi.
  7. Kyenju

    Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

    Huyu lara1 yupo au lishagaitwa na Bwana wa majeshi?
  8. Kyenju

    Eti Kuna wanaume wanalala uchi? Duuuh!

    Kwa watoto wa kiume hii ni kama nadharia, ila kulala utupu ni moja ya body relaxation. Hii mambo ya vibaka kwani unaishi wapi? Naishi hapa PALM VILLAGE sijawahi kusikia story za wezi au vibaka.
  9. Kyenju

    Uganda Seeks Private Investment in Solar energy.

    Advice him to find Chinese guys, the kind of this opportunity they will come faster.
  10. Kyenju

    Yanayotokea Ulaya yana uhusiano gani na Uislamu kama baadhi ya watu wanavyodai hapa JF

    Nadhani nawe ni mmoja wa hao wajinga wachache.
Back
Top Bottom