Hili sio tatizo tena bali limeshakuwa janga, huduma ya maji imefanywa hisani badala ya kuwa ya lazima, Juzi nilikuwa huko Shelui tena mbali na hapo center huko wanatumia maji ya ziwa Victoria na yanatoka kila siku,
Kahama ,Shinyanga, Nzega na Igunga hivohivo ila ukiwa hapa Mwanza ambapo ndo ziwa...
Hiyo wilaya nimefika maeneo mengi mfano Mahaha, Kabila, Ng'haya,Kule kisiwani Ijinga,Nyanguge, Viunga vyote vya Magu mjini,na maeneo mengi kabla hayajahamishiwa wilaya ya Busega baada ya kuundwa kwa mkoa wa Simiyu
Mifumo inasomana ,wakishaweka NIDA inasoma kila kitu.
Utaratibu wa malipo ya mafao yako NSSF uliopo kwa sasa ni siku 90 baada ya kuwa umetoka kazini.
Sina uhakika ila nadhani wamefanya hivyo wakikadiria kuwa kwa muda huo utakuwa umepata kazi mpya hivyo mafao yako yahamishiwe kwa mwajiri wako...
Ulifanyika jana,unaitwa uchaguzi wa katikati ya muhula ambapo wanachagua wabunge wa seneti na Congress pia magavana wa majimbo,uchaguzi mkuu utafanyika mwaka 2028( ufanyika kila baada ya miaka minne)
Nyie wasabato mmekuwa mstari wa mbele kukashifu madhehebu mengine ya kikristu yanayosali siku ya jumapili badala ya jumamosi kama nyie,pia mafundisho yenu yamejaa chuki na ubaguzi dhidi ya hayo madhehebu hasa Roman Catholic,
Unaweza kunipa andiko lolote la biblia linaloruhusu mafundisho ya...
Hawa airtel kwenye customer care wako hovyo sana,kwa siku mbili tatu hizi huduma yao ya Internet na airtel money imekuwa down sana ,hawajali wateja wao,wanaishia kutoa excuses tu bila kufidia usumbufu na mb za watu zilizopotea,
Huu mji kwa sasa ni mchafu sana ,takataka na vichaka vimetawala maeneo mengi, nai miss Mwanza ya 2010 kurudi nyuma enzi za city DED Mr Wilson Kabwe,mji ulikuwa safi na unavutia,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.