Recent content by Kyampisi

  1. K

    KERO Wajawazito wanne tumelazwa kitanda kimoja Hospitali ya Wilaya Same, Kilimanjaro. Tunaomba vitanda viongezwe

    Kwa maoni kama hayo ya kwako, watu watazidi kuumia. Kumbuka asilimia kubwa ya watanzania vipato vyao ni vya chini
  2. K

    Mke wangu amesema kwasasa hayuko tayari kuzaa, kuna mambo yake anamalizia kwanza

    Changamoto hii ya kuoa mwanamke mwenye kipato kukuzidi halafu anakuchukulia kawaida Mwambie ki-amani tu "mke wangu kwa hilo unaninyanyasa ipo siku nitachoka" halafu uone atasemaje. Ndoa ni taasisi!
  3. K

    Nitafanya kazi gani baada ya kumaliza kusoma?

    Half american! Hivi hawa content creators hela huwa wanapataje? Wanalipwa na Instagram/Facebook au?
  4. K

    Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Pole sana, bila shaka mpaka hapo umefikia uwezo wako wa mwisho wa kujishauri, wala usijidhuru maana utakuwa umesababisha hasara kubwa, na wala usimdhuru mke wako. Mpaka unafikia hatua hii bila shaka kuna mengi nyuma ya pazia Pengine labda umejaribu kumuuliza mke wako ni kwa nini kamhamisha...
  5. K

    Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?

    Swali zuri sana, laki na themanini tu roho inamuuma hivyo, je, faida ingekuwa laki 4 kwa mwezi si angemroga kabisa! Kwenye haya maisha tenda wema, na wema utakulipa siku moja.
  6. K

    Kwenye tukio la kigogo wa Equatorial Guinea nimeamini hiki kizazi sio cha kufunga ndoa

    Unaweza kuhisi labda jamaa alikuwa anatumia nguvu za giza katika ushawishi wake
  7. K

    Dudubaya ni ngangaripoa?

    Konki konki konki master!
  8. K

    GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Brother unaona mbali, naona watu wanafumuka fumuka tu bila kusoma alama za nyakati.
Back
Top Bottom