Recent content by Kwetu kaya

  1. Kwetu kaya

    Bei za mifugo kama Ng'ombe zinapaa sana shida nini?

    Hawa waturuki wanaochinja kila uchao ndio wanapandisha bei Nadhani sisi kama watanzania hii ni fursa ya kujiimarisha katika ufugaji kwa kuwa soko limekuwa
  2. Kwetu kaya

    Dawa nzuri ya mafua kwa mtoto mchanga wa mwezi mmoja

    Ndugu ulitumia dawa gani kumtibu mafua
  3. Kwetu kaya

    Paul Kagame ndiye Rais mwenye Intelejensia Kali kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki

    Rwanda ni underdog tu hapa East Africa ila mmeamua kuwaaoverate
  4. Kwetu kaya

    FT: Kagera Sugar FC 2-5 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 21 Dec 2024

    Mimi mwanautopolo lakini naitakia simba kila la kheri ukizingatia wanavypiheshimisha nchi kimataifa.
  5. Kwetu kaya

    Hii kitu imeniuma sana, nimebeba mifuko 70 ya Cement nimelipwa 1500

    Mimi ningeishusha na kuirejesha ilipokuwa huwa sipendi ujinga
  6. Kwetu kaya

    Natafuta girlfriend wa miaka 19 - 21

    Ft 1=cm 30 120÷30=4 Ft 4
  7. Kwetu kaya

    Misiba ya matajiri vs misiba ya masikini

    Unamaanisha msiba wa hayati na marehemu?
  8. Kwetu kaya

    Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

    Watoto wao ni kundi la watawala sharti wawe wachache Sie watoto wetu ni kundi la wapiga kura hivyo sharti wapiga kura wawe wengi kura zitoshe. Nawasilisha.
  9. Kwetu kaya

    Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Hakuna waislam wanaovaa nusu uchi. Hao wameamua kuuchafua uislamu walinganiwe.
Back
Top Bottom