Recent content by KWENYE PESA HAKUNA ADUI

  1. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    Naombeni mbinu za kumzidi kibiashara ya mpinzani wako

    Narudia tena "MSHINDANI WAKO NI GENIUS SANA" Nimekaa hapa kusubiria vilio vya anguko lako miezi miwili mbele!!!
  2. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    Naombeni mbinu za kumzidi kibiashara ya mpinzani wako

    Narudia "NSHINDANI WAKO NI GENIUS SANA" NAKUPOTEZA NDANI YA MIEZI MIWILI MBELE!!! NIMEKAA HAPA KUSUBIRIA KILIO CHAKO!!!
  3. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    Naombeni mbinu za kumzidi kibiashara ya mpinzani wako

    "MSHINDANI WAKO NI GENIUS SANA" NB:Washindi,shabaha yao kushinda,Wanaoshindwa,shabaha yao Washindi.
  4. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

    UNAWEZA USIELEWEKE KWA "baadhi" YA WATU WASIOJUA NAMNA Mungu anavyotenda kupitia ROHO WAKE.
  5. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    Bei ya zao la mbaazi mwaka 2025

    Zilipoanza kutoa matawi (ya kutolea maua) sikuwa nayakata ili yatoe natawi mengi zaidi "MATAWI MENGI-MBAAZI NYINGI")
  6. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    Bei ya zao la mbaazi mwaka 2025

    Nilishalimaga hizo nambo hekari tatu, nilipata kilo 97...(Uzuri nilielewa wapi nilikosea)
  7. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    Ninawachukia sana bodaboda na makonda wa daladala

    Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza. (CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI NI KWELI)
  8. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    Tabia ya Mtu kufanana na Mungu na tusio yaamini sana.

    AMINA KWA CHAKULA FIKIRISHI ASUBUHI HII..🙏🙏
  9. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    Mafunzo 10 ya kifedha kutoka kitabu cha Rich Dad, Poor Dad Cha Robert Kiyosaki (Toleo la kiswahili)

    KUZALIWA KTK PESA HAIKUPI JEURI YA KUWA TAJIRI,BALI MAARIFA (UJUZI WA KUWEZA KUZIZUNGUSHA "KUZITUMA"). IKITOKEA UMETOKEA KTK PESA NA UKAWEZA KUFANIKIWA PIA,MAANA YAKE ULIFUNDISHWA NA UKAFUZU MAARIFA YA FEDHA.
  10. KWENYE PESA HAKUNA ADUI

    Mafunzo 10 ya kifedha kutoka kitabu cha Rich Dad, Poor Dad Cha Robert Kiyosaki (Toleo la kiswahili)

    VIPI KM WASINGEKUWA NA UJUZI WA WALICHOPEWA AU "familia waliyotoka",WANGEKUWA MATAJIRI?
Back
Top Bottom