Recent content by Kwakivesa

  1. K

    Mchungaji Kimondo: CCM wakemee Polisi waache vitendo vinavyoongeza uhasama na Wananchi

    Kumbe wakati mwingine una akili za ki Mwai paw paw? Alichokosea huyo mchungaji ni kipi?
  2. K

    Mahakama ijitahidi kuepuka mipango miovu ya wanasiasa

    Kuna uwezekano mkubwa kwamba vyombo vya dola vinapewa maelekezo na viongozi wa kisiasa ili kuwafanya waendelee kutawala kama ilivyokuwa ikitamkwa kwa vipindi tofauti na viongozi waliopo madarakani. Katika nchi ambazo ni za kidemokrasia taasisi yenye nguvu inayopaswa kuheshimika na pia kuogopwa...
  3. K

    Somo Toka Hukumu ya Tundu Lissu: CJ Masaju, Usiruhusu Mahakama Kutumika kama Tissue Kufutia Mananii ya Udhaifu wa Kisheria wa Serikali!, Ibananishe!

    Anaweza kukata rufaa,lakini bado maamuzi yatakuwa ya kisiasa,yani wanasiasa watatuma tena memo kwa majaji wa mahakama ya rufaa na kusema mahakama kuu ilipatia kubadili gia angani; kubadili mashitaka kutoka ya uhaini na kuwa ya uchochezi kifungo hapo hapo:Thinkies::Thinkies:
  4. K

    HALI NI MBAYA SANA

    Hii ni hotuba yangu kwa wananchi wa nchi ya wadanganyika mara baada ya kula kiapo; Ndugu wadanganyika;ukiona kulipaswa kuwepo maridhiano kabla ya kuchaguana na kisha hayo maridhiano ya wadanganyika hayakufanyika na yakatokea ya kutokea na sasa kuna utaratibu wa kulazimisha maridhiano na baadhi...
  5. K

    Shura ya Maimamu yaomboleza Mauaji ya Kimbari ya Octoba 29 2025

    BAKWATA HAWANA TOFAUTI NA KKKKKKKT
  6. K

    WANAKOELEKEA WADANGANYIKA NI KUBAYA ZAIDI KULIKO WANAKOTOKA

    Sasa hivi hali ni shwari kwa sababu wanaonufaika na mfumo wa sasa nchi ya wadanganyika ni wachache na wao wanafanya hivyo wakijua kwamba hawawezi kuondoka leo au kesho: Wamezunguukwa na wakwepa kodi ambao wanahakikisha wanafanya kila linalo wezekana aliyepo kwa kiti haondoki ili waendelee...
  7. K

    Jussa: Siyo kila kitu tukimbilie wasuluhishi wa nje

    Sasa nani asimamie maridhiano? Mzee Butiku,askofu mkuu wa kkkkkkkkkkt,Manabii na Bakuruwatra? na upande wa vyama AAAAAAAfp na Chaumwa na wazalendo AC?:cool::cool:
  8. K

    Barua ya wazi kwa kiongozi mtaafu

    Habari za uzee wako: Nakuandikia ujumbe huu nikikusihi ufanye kila linalowezekana ukishawishi chama chako,umshawishi aliye kitini kufanya kila linalowezekana kutengeneza kijitabu ambacho kitawaongoza wananchi wadanganyika kwa kipindi kingine cha miaka 50 ijayo. Kwa sasa hali ni mbaya ingawa...
  9. K

    Rais Samia hana watu wa kumuambia ukweli kuwa Wananchi hawampendi na hawataki awe rais wao?

    Sidhaani kama ni kweli eti kwa sababu ya dini;mimi ni dini moja na huyo;lakini sina tabia kama za Mwaipopo,kila siku dini dini dini;mbona kuna mashekh walisota jela JPM akaja akawatoa?
  10. K

    Siyo kwamba Nchimbi kawekwa kizuizini

    Cdf Waitara mjeshi na mbunge ni watu wawili tofauti;ni majina tu yanafanana mzee,au mimi ndio nakosea?
  11. K

    CCM Haitaki maridhiano

    Wakati muafaka ndio haufiki sasa,tunaishia kudanganywa dangaywa
  12. K

    Lakini hatukwenda BAKWATA maana wale ni MaCCM" Tundu Lissu.!

    Yes,Hata huku kwa KKKKKKKKt wana mikono yao :Agakakskagesh: :Agakakskagesh:
Back
Top Bottom