Huyu Yahya huyu naye aache sheria na katiba za nchi zifanye kazi. Mara utamsikia ooh mwaka huu hakuna uchaguzi, atakayempinga atakufa n.k.
Ananafasi gani katika hii nchi yetu kwani nchi inaongozwa kwa katiba na sheria.
kumbuka alipata mwaliko, Mbona hukupata wewe na mimi. Yaani hakuna aliyekuona. Sometimes its better not to disclose/air-out things that you think you know.
Ni vizuri headings ziwe na mvuto lakini si kiasi cha kupotosha jamii. Angalia pia staili ya wasomaji wako. Je wanatabia ya kusoma habari kwa kina au ni asilimia chahce tu wanaweza kufanya hivyo?
Labibah ungekuwa mzalendo kweli tungekuona ukipigana vita vya akina Zitto na Dr Slaa hapa nchini. Badala ya kuona wengine wajinga. Njoo ulete mabadiliko badala ya kujishebedua kwenye nchi za watu.
Plse tunaomba updates za Chenge pia as of todays position. maana wengine tupo nje ya jiji. Wenzetu mlioko bongo jijini tuhabarisheni.
Thanks invisible for the breaking news.
what is 2 to 3 billion out of 133 Billion and those of dubious contracted made by the same Fisadis.
Alama za nyakati zinasomwa. ambapo awamu ya pili ya uraisi kuwepo katika hali ya utata.
unawatumia karandinga na maji ya upupu wazee!!!!!!!
Unapanga kumwgia baba yako upupu!!!!!!!!!!!!! HII LAANA UTAISAFISHIA WAPI.
HALAFU TUENDELEE KUITA KISIWA CHA AMANI??????? kWELI NATATOKWA NA MACHOZI.
hii inaonyesha dhahiri jinsi ambavyo waandishi wengine wa habari walivyo na uelewa mdogo na jinsi gani wanaweza kutumiwa na mafisadi kupotosha jamii kwa manufaa ya mafisadi wakati wenyewe wakibaki na malipo ya vijilaki na kamera kubwa mikononi huku mikono ikiwatoka jasho.
Kwani ni dhahiri...
Wewe mtanzania sasa unataka tu kuvuruga tu mambo, Kilichohitajika hapo ni daktari ambaye ange confirm procedure. Regardless anatokea wapi. Naona unajaribu kuvuruga tu mambo au ndo muhusuka wa mtandao wa mauaji!!!!! Tumechoka na uonevu wa kisiasa wa namna hii. Kwenye suala tata kama hili acha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.