Recent content by Ktutu

  1. K

    PostGE2025 Balile: Lissu alifanya uchochezi

    Kweli nimehamuha kumdharau Balile. Tumbo linaumiza mwili na kuharibu akili.
  2. K

    Nimeamini mahakama zetu zina viwango vya kimataifa. Tuache kuzisingizia zinapotuhukumu

    Mtoa mada awasolushe hoja yake Kinondoni makaburini au Tegeta kwa Kondo, sio kwa Watanzania wanaopumua
  3. K

    Lissu akosoa hukumu asema ni ya kisiasa.

    NI fedheha kwa Mahakama kama mojawapo wa mihimili mitatu ya Taifa. Mahakama unamuhukumuje mtu kwa kosa ambalo mtuhumiwa hakushitakiwa nalo?
  4. K

    Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

    Watanganyika nani amewaloga? Wamekuwa mazombi. Uwezo wa kutafakari na kuwa na maono juu ya Tanganyika ni zero. Wanashangilia upuuzi. Ee Mungu tunusuru na hiki kiama.
  5. K

    Kutoka Mahakamani: John Pambalu ashtakiwa kwa UHAINI

    Lengo la Tume ya Jaji Lilla nini? Naona ni kitandawili kigumu kwao kwani tayari kazi yao inatiwa dosari
  6. K

    Kutoka Mahakamani: John Pambalu ashtakiwa kwa UHAINI

    Lengo la Tume ya Jaji Lilla nini? Naona ni kitandawili kigumu kwao kwani tayari kazi yao inatiwa dosari
  7. K

    Mchungaji Emmanuel Rajabu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato atupa jiwe gizani

    Ujumbe mbona uko wazi? Kwa wanaofuatilia matukio(current issues) ujumbe hauna fumbo.
  8. K

    Serikali yakanusha tuhuma za mpango wa kumwekea Sumu Tundu Lissu

    Kwa nini serikali aikukanusha Lisu kuwekwa katika zero la wafungwa waliokumiwa kunyongwa hadi kufa katika gereza la Ukonga? Serikali itueleze sababu za kumuweka katika zero hiyo ili hali hajahukumiwa. Vinginevyo tetesi au tu human zilizotolewa zinaweza kuwa na ukweli 99.999%
  9. K

    Tetesi: Lissu kuachiwa kesho

    Kipi cha kushangaza? Dalili ya mvua ni Mawingu.
  10. K

    Dark days 17/03/20

    Yoga PK yu wapi?😭
  11. K

    VIDEO: Ona Sam Sasali alivyopàmbana na Kafulila TVs zikiwa Live " Hizo namba za ukuaji wa uchumi zinafaida gani kwa mwananchi wa kawaida?"

    Kilimo hakipimwi kukua kwake kwa kupanua mashamba, kinapimwa kuongezeka kwa uzalishaji (productivity) na uletaji tika kwa jamii. Atoe takwimu za matokeo(impact) ya kukua kwa kilimo jinsi ambavyo kimeongeza pato la watanzania kwa soko la ndani na nje . Hii itahakisi uhalisia wa kuongezeka kwa GDP.
  12. K

    Kama ndivyo, kuna shida. Kubwa!

    Iwapo ni sahihi alyoyasema Msomi Kibatala waliosimamia utekelezaji wa barua hiyo wanatakuwa wajiuzulu kutoka kwenye nyadhifa zao. Vinginevyo mamlaka za uteuzi ziwafukuze kazi.
  13. K

    VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

    Ukweli ni kuwa K ni tapeli ea kisiasa. Ni opportunist
  14. K

    Dkt. Godwin Mollel: Wana CCM wenzetu wameanza kuugua kifafa, ukivaa kola madhabauni na ukafanya ushetani tunakufuata huko huko

    Ukitupa jiwe kwenye giza(gizani) ukisikia kelele jua limepata/ limemgonga.
Back
Top Bottom