Hivi karibuni kumekuwa na kasi ya wanasiasa wa Tanzania kupenda sifa za usomi hata kama hawakwenda shule, Mwanasiasa akiwa na SETIFICATI tu anajitutumua kama ana Shahada ya Uzamili. Sasa ukikuta ana shahada ya kwanza , basi atajiita DR.fulani wa fulani wakati anajua kabisa , hastahimili level...