Tunapozungumzia masuala mazito yanayohusu amani ya nchi watu wengi hukimbilia kuangalia dini kubwa kwangu mimi ninamtizamo tofauti na huo wako ila ninachokiona Pengo amesisitiza kwamba uwepo utawala wa sheria ambao utatoa haki bila kupendelea dini maana wananchi wanazo dini zao lakini nchi...
Du! Pole sana, ulizoea mambo ya kibongo popote utakapoenda mkoa wowote ule lazima utapata chachandu. Waafrika tumeshafanya hayo mambo ni kama sehemu ya chakula kwamba kila siku lazima ule.
Watu wa Mwanza tutayapataje hayo mafuta? naona umeonyesha mikoa yanakopatikana ni Dar na Dodoma, mimi binafsi nayahitaji.Na
kwa hilo dumu la lita tano unauza kwa shilingi ngapi?
Mzima wewe! Mchumba au Mke hatafutwi kwenye mtandao, atakuzingua tu, mnaweza mkakubaliana kabla hamjaonana siku mkionana au kuoana mkaja kugundua mapungufu ambayo utashindwa kuyavumilia. Nakushauri, jaribu kujichanganya sehem mbalimbali kama kwenye michozo unaweza ukapata mchumba/mke mzuri tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.