Recent content by koncho77

  1. koncho77

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Dah kufa kubaya sanaaaa😰😰😰😰
  2. koncho77

    KYELA: Mama na Mtoto wa Miezi 10 wanashikiliwa siku ya 4 sasa bila kupelekwa Mahakamani kwa deni la Mkopo wa Halmashauri

    Wanadai wanatoa mikopo kwa wananchi wa hali ya chini ili kuwainua, japo sioni kama ni lengo zuri kutoa mkopo ili kumuinua maskini, mkopo ni kwa ajili ya wale wanaojishughulisha na biashara pamoja na ujasiriamali kwa ajili ya kuendeleza kazi zao, sio kumkopa mtu ambae hana chochote eti aanzishe...
  3. koncho77

    Je hapa ilikosekana Amani au Haki?

    Kwani nini ni nini? Mbona sielewi
  4. koncho77

    Marekani: Mtu mmoja amefariki na wengine watano kujeruhiwa kwa kupigwa risasi Washington DC

    Kama ameua na yeye akajiua basi amejitoa muhanga, kuna jamii moja hapa duniani inapenda sana kujitoa muhanga
  5. koncho77

    Kuanzia leo nimeacha kubishana na mtu ambae elimu yake ni kidato cha nne kushuka chini

    Wasomi hawabishani bali wanapingana tena kwa pointi
  6. koncho77

    Rais wa Israeli amteua mpinzani wa Netanyahu, Gadi Eisenkot kuunda serikali mpya ndani ya siku 28

    Chama cha kiarabu cha Raam mgombea wake alikuwa ni myahudi
  7. koncho77

    Rais wa Israeli amteua mpinzani wa Netanyahu, Gadi Eisenkot kuunda serikali mpya ndani ya siku 28

    kutegemea kura za vyama vya Kiarabu kuendesha maamuzi ya usalama wa taifa na bajeti ya kijeshi ni jambo linaloweza kuifanya serikali hiyo kupoteza legitimacy mbele ya wapiga kura wengi wa Kiyahudi nchini Israel. Kitakachofanyika ni uchaguzi kurudiwa upya kwa maana hakuna mrengo wowote...
  8. koncho77

    LULU aibukia Mhimbili, Homeboy yafika majuu

    nyie ni vinini hivi? mmevielewa?😂
  9. koncho77

    Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

    Huu ujumbe uwafikie akina dada, wachunge sana siku zao N.B Hivi unajua kuna wanawake wengine hawajui mzunguko wa siku zao za hatari
  10. koncho77

    Usioe wala kuolewa na mwenza ambaye wazazi wake ndio kipaumbele chake kuliko wewe

    Ukishakuwa mfuasi wa family first lazima utifuane na wazazi haswaa Mama zetu, sijui kwanini ipo hivi
  11. koncho77

    Manara: Nilikuwa naroga watu waje Uwanjani

    Kuna tukunyema nyingine nyingi zipo bungeni, dah hii nchi imeoza
  12. koncho77

    Misri imelipa fidia kwa familia ya Mwanaharakati Shaimaa al-Sabbagh aliyepigwa risasi baada ya Miaka 10

    Hakuna fidia kwenye uhai wa mwanadamu, perhaps they should clarify that this money is a condolence offering for the family
  13. koncho77

    Apologise in 72 Hours or Lose Your Post: Muhoozi to Nameere

    Therefore in Uganda, Muhoozi Kainerugaba effectively holds supreme authority now, given that President Yoweri Museveni has aged, to the extent that Kainerugaba is now in a position to threaten to strip an individual of their ministerial portfolio.
Back
Top Bottom