Nakubaliana na wewe 100% kuwa hili ni bandiko bora kabisa. Tlatlaa anadai eti bandiko kwa uchache limetokana na Mkuu Lumumba kusoma vitabu...nimefurahi ameshindwa kabisa ku challenge andiko kwa uchawa wake nonsense.. chawa hawawezi kabisa gusa hii critical thinking.
Ujumbe wako huu bwana Labani...Simba anaingia mara ya pili fainali lakini kwa makusudi unapotosha...nikaona nikupe ujumbe na bado hukugundua...hahahahaaaa
Mpumbavu ni yule anayejua ukweli lakini kwa makusudi anaupotosha, Mjinga hajui kabisa, lakini akielimishwa anajua ukweli. sasa ni bora mtu mjinga kuliko mpumbavu.
Bodi kwa kanuni walioitumia walisema pia kuna taarifa wamezipata kutoka kwa afisa usalama, we unazijua ni taarifa zipi uwalazimishe wasiahirishe mechi? kanuni walioitumia mtazurula dunia nzima hamtapata point za mezani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.