MKWERE: akiwa na bakula, anaomba kwa wazee wa kaya wa wasomi huko ulaya.
WAZEE WA ULAYA: Kwani una shida gani mkwere?
MKWERE: Nina matatizo mengi wazee wangu, UKIMWI, MALARIA, UMASKIN, na hayayote bajeti yangu haifikii
WAZEE WA ULAYA: Halafu w mkwere, si una dhahabu, almasi,makaa ya mawe, gesi...