Recent content by klf

  1. K

    Maana ya neno decommission kwa kiswahili

    1.Elezo la kwanza sielewi 2.Fanya kitu kisiendelee kutumika, ondoa katika huduma k.v basi au meli
  2. K

    Kamusi ya Ngamizi

    Mtu awaye yote ambaye anataka kamusi yangu ya Istilahi ya Ngamizi bure bilashi aiombe kupitia barua pepe yangu klfmzungu@gmail.com.
  3. K

    Tafsiri ya msemo huu kwa kiswahili tafadhali

    Nafikiri "mvua ya mawe" maana yake "hailstones"
  4. K

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    Naomba tafsiri ya "shredder" - kifaa cha ofisi cha kukata kata vipande vipande ukaratasi.
  5. K

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    Mimi hapa napendelea "kaima,orodha,vikiwemo,vilivyomo" kutafsiri "menu" Mimi nafikiri kwamba neno "dilemma" afadhali liandikwe "mtanziko/mtanzuko" kwa kiSwahili.
  6. K

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    Hata mimi wa Ireland uzi huu unanipendeza sana sana! Nitajumuisha maneno hayo kwenye Kamusi yangu ya Istilahi ya Ngamizi ambyo inapatikana bure bilashi kutoka klfmzungu@gmail.com
  7. K

    Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

    Kwa kawaidha, mimi natumia "barafu" kwa sehemu ya juu na "jokofu" kwa sehemu ya chini yenye ubaridi wa hali ya juu.
  8. K

    Fahamu tafsiri sahihi ya "computer" kwa kiswahili.

    Napenda kujulisha wanaoshirki sehemu ya Lugha kwamba mimi peke yangu nimetunga Kamusi Fupi ya Istilahi ya Ngamizi/Tarakirishi. Kwa wakati huu sokoni hakuna kitabu cha namna hii kinachopatikana. Mtu awe yeyote mwenye hamu ya kuwa na toleo la kitabu hicho (bure bilashi) kwa njia ya mtandao aombwe...
  9. K

    Ndaki

    "Mkutano ulifanyiwa katika NDAKI kuu ya Chuo Kikuu". Hebu nieleze "ndaki" maana yake tafadhali.
  10. K

    Tafsiri ya 'sinus infection' kwa Kiswahili

    Kutoa maelezo ni vizuri lakini mdau anatafuta neno. Tungeweza kusema "maambukizo ya pua"?. Mimi si mganga halafu sihitaji maelezo kinaganaga ya hali hiyo.
  11. K

    'Juice' kwa Kiswahili inaitwaje

    "Utupa" ni aina ya sumu. Tujihadhari - "Maji ya matunda" si sumu. Hata "utomvu" haifai kutumika kwenye muktadha ya maji ya matunda.
  12. K

    Vineno vidogo vya Kiingereza vinavyosumbua baadhi ya wazungumzaji

    His work is prefessional. = Anafanya kazi kitaalamu. His work is unprofessional. = Ni mtaalam lakini hafanyi kazi yake kitaalamu. Labda kutokana na uzembe. The opposite of a Professional is an Amateur m.y mtu asiyejitafutia riziki kwa kazi yake k.m. mwanariadha (Uridhaa = Amateurism)
  13. K

    Kiswahili cha dealine na addiction

    deadline: muda wa mwisho/siku/tarehe ya mwisho/kuwahi muda uliotolewa addiction: uraibu (buhu?)
  14. K

    Msaada wa neno hili

    kuchukulia kuwa kweli
  15. K

    Uhusiano wa semantik na pragmatik

    Kwa Kiswahili mbona hutumika "semantics" = umbomaana (sarufimaana) Pragmatics = sijui lakini "pragmatist = myakinifu, wa-
Back
Top Bottom