Recent content by kkakuona

  1. kkakuona

    Hawa members wana muda gani hapa JF?

    Nakushauri uongeze ubunifu katika post zako watu tutachangia tu.
  2. kkakuona

    Hatimaye Mubarak aachia ngazi!

    Haswa na speaker wao!!!
  3. kkakuona

    Namwagiza Anna Makinda Kufunga Bunge Sasa Hivi, Haraka sana

    Hapo kwenye rangi. Siku anatangazwa kuwa mshindi nilikuwa MORO kwenye Internet, palikuwa na dada mmoja akasema hampendi huyo mama kwani ana hasira sana!! Sikumuelewa sasa nimemuelewa. Nadhani mabadiliko yanahitajika.
  4. kkakuona

    Dr Magufuli awasha moto Dar - ofisi ya RC Lukuvi na Manager Tanroads kubomolewa!

    Hongera Dr. Pombe. Lakini kwanini asingepewa hata uwaziri mkuu tukaona anavyofanya mambo? Tumuombe Mkwere ampe PM kwa miaka miwili tu angalau. Nadhani tutaona mabadiliko angalau.
  5. kkakuona

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Kuna wito ambao umenivutia. Naomba kuwashirikisha wote. Nakubaliana na mtoa mada kwamba mass failure ya F4 inabidi kuangalia mfumo mzima kwa ujumla wake. Kuanzia mazingira shule za msingi na sekondari, wanafunzi wenyewe, waalimu, watunga mitihani, wasahihishaji na mtaala mzima wa elimu yetu.
  6. kkakuona

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Nimekusoma mkuu. Ila nashangaa kidogo kama kwa elimu ya TZ mwenye cheti cha F4 kama kitamsaidia popote. Hata kusomea ualimu wa chekechea i guess wanataka mwenye div III. Kwa hali hiyo waliofaulu ni 11% na waliopata vyeti vya F4 ni 50%.
  7. kkakuona

    Aibu rais kulala hadharani!

    Unataka afanye nini kama siyokulala? masuala gani umeona hayaendi kama yeye alivyotarajia?
  8. kkakuona

    MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

    Kuna usemi kuwa picha zinaongea kuliko maneno. Let's visualize the results. Source of data michuzi blog. Kwa hiyo kwa graph hizo hapo 89% wameshindwa. 11% ndio wanaohesabiwa kuwa wamefaulu. Hata hivyo katika hao 7% huenda wakaambulia kwenda kusomea kuwa walimu wa shule za kata kwani combination...
  9. kkakuona

    Kumbe Wanyarwanda nao Wamo hii ni Balaaa mmm

    Kuhusu nini hasa?
  10. kkakuona

    Dr Milton Makongoro Mahanga kuwashukuru wana CCM kata ya Kiwalani

    Amechakachua kura zetu za Segerea huyooo. Achana naye.
  11. kkakuona

    Kumekucha: Wanakijiji wachoma matrekta 20 ya wawekezaji Babati

    Tunaamka taratibu. Sasa hivi hata kule vijijini wananchi wameichoka sisiemu. Ingawa mzee wa bumbuli atakwambia wana hazina vijijini.
  12. kkakuona

    Kumekucha: Wanakijiji wachoma matrekta 20 ya wawekezaji Babati

    Acha kutuyeyusha wewe. Na hawa wanachoma hivyo viwanda kama symbo ya kukataa kuendelea kunyonywa na gabachoris. Nadhani hata wahindi wa Rites nao wanatakiwa wafanyiwe hivyo na watimuliwe kabisa. Wanatulitea marichmond na Dowans bure. Ile reli ya kati ilikuwa inaoperate japo kwa kusuwasuwa kabla...
Back
Top Bottom