CHADEMA yenyewe inasikitika sana poyoyo kama huyu Yeriko Nyenyere amewahi kuwa mwanachama wa chama makini kama CHADEMA. Toka mwanzo huyu alitakiwa kuwa mwana CHAUMMA au AFP.
Hiyo bilateral agreement ni ya nyie mapoyoyo kupeleka raia wenu USA wakafungwe na kamwe siyo raia wa USA aletwe aje afungwe Ukonga. Hata hilo tu linakushinda kung'amua?
Mtasubiri sana raia wa USA kuja kufungwa Ukonga.
Fundi Mchundo unajua CCM ilishinda uchaguzi kwa 97.66% na turn out ya voters ilikuwa 86.80% ya wote waliojiandikisha.
Kwa maana nyingine huu ulikuwa ushindi wa kihistoria kwa CCM maana haijawahi kupata ushindi mkubwa namna hiyo. Ushindi mkubwa nama hiyo huwa unapatikana kwa Kim wa Korea ya...
Wenzao ma CCM hao. Wasudan Kusini watakuja kushangaa miaka 70 imetimia SPLM bado wapo madarakani kama maccm ya tz.
Wasouth Afrika tu ndiyo watajikomboa na vyama aina ya ccm maana kufikia 2035 ANC itakuwa imepigwa chini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.